Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Unajua watu tuache unafiki wa kijinga!

Hiv wewe tangu huu mwaka umeanza umetuma mkeka gani humu ndani? Lete link ya post ya mkeka wako? Ni malamiko tu yasiyo na tija!

Posts zako za tangu feb mwaka huu hujatuma chcht zaidi ya kuongea bitcoin tu mara under 1 cjui ukuda gani..na hata hizo za 2017 hakuna kitu uliacha humu, zaidi ni huko kwenye siasa ulipost!

Mtu hata huna mkeka wowt hlf unafyatuka tu basiii..uache ukuda hata kama ulijiunga nikiwa form ngapi sijui!
Upo sahihi kabisa
Sina ujuzi wa kubet ila enzi hizo nilikua nikiingia humu silali njaa
Nachungulia possible naruka nazo kimyaaa nakula maisha
Sasa hivi mmejaa wapost won tuu jukwaa halina maana tena
 
Eti Kadiri Ninavyokua

Aaaah Aaaaaah Aaaaaah

Kama Ungenijua Usingeandika Sawa.

Sawa Mheshimiwa Nisamehe Sana

UKO SAHIHI

Usiku Mwema
Sasa ndio nimeelewa kwanini wengi wanapost mikeka ya odds 2 na hawapost mikeka ya odds mlima...humu wachawi wengi, wewe fanya kupost odds 100+ watauwangia tu, na nina uhakika huyo mwamba alobet odds 2000+ angeupost humu wengi tusingemfuata kwa kuamini lazima mkeka uchanike....tuache uchawi...
 
Kuna vichwa maji humu naskia walikua wanasema nime edit jinga kabisa ili nipate faida gan..haya angalia hzo transaction au nazo nimeedit[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Naona Na Ki Icon Cha PM Ya Jamiiforums Kule Kushoto.

Aaaaaah Aaaaaaaaah Aaaaaaaah
 
Sasa ndio nimeelewa kwanini wengi wanapost mikeka ya odds 2 na hawapost mikeka ya odds mlima...humu wachawi wengi, wewe fanya kupost odds 100+ watauwangia tu, na nina uhakika huyo mwamba alobet odds 2000+ angeupost humu wengi tusingemfuata kwa kuamini lazima mkeka uchanike....tuache uchawi...
Aaaaaah Aaaaaah Aaaaaah Dah Inawezekana Maana Kuna Wahuni Walishasema Hapa Kuwa Wakipiga Kimya WON, Wakiweka Hapa LOST

Nishaona Hiyo.
 
Aaaaaah Aaaaaah Aaaaaah Dah Inawezekana Maana Kuna Wahuni Walishasema Hapa Kuwa Wakipiga Kimya WON, Wakiweka Hapa LOST

Nishaona Hiyo.
Hata wauza tips maarufu duniani wanaolipiwa hawauzi tips hata za odd 10, ni chini ya hapo
 
Upo sahihi kabisa
Sina ujuzi wa kubet ila enzi hizo nilikua nikiingia humu silali njaa
Nachungulia possible naruka nazo kimyaaa nakula maisha
Sasa hivi mmejaa wapost won tuu jukwaa halina maana tena
Enzi hizo kitu gani bhana..juzi tu unasema enzi hizo? Unaandika kama vile kuna makubwa ushafanya humu..hata kama hakuna nililofanya kias fln, sijawa na ukuda kama wako

Basi miaka hii lala njaa!

Kama jukwaa halina maaana, hujalazimishwa kuingia humu
 
Na kuanzia kesho kila siku nitakua napitia humu kuona tips za idiot za odd 100+ za uhakika
Nani hapendi hela kwani?
Idiot tunasubiri tips na sio won
 
Enzi hizo kitu gani bhana..juzi tu unasema enzi hizo? Unaandika kama vile kuna makubwa ushafanya humu..hata kama hakuna nililofanya kias fln, sijawa na ukuda kama wako

Basi miaka hii lala njaa!

Kama jukwaa halina maaana, hujalazimishwa kuingia humu
Kaka nilikua napiga sana hela kwa possible za wamba wa enzi hizo
Walipoanza kutoweka tukaanza kuwabembeleza waliopo nao mpaka umwambie bro tukumbuke ndio anapost
Wamwishoni ndio hawa akina proffesor, void mr wise stevemollel
Nao naona kimyaaaa
Nimepiga sana hela kimya kimya kupitia hili jukwaa ndio maana nakua mkali kidogo natetea kipato cha ziada
Sasa ukipost won inasaidia nini hapa jukwaani?
 
Sasa hivi mmejaa wapost won tuu jukwaa halina maana tena
Bikosports hiyo nenda kaweke hata buku, kama wewe ni muumini wa First Half Over 1.5 goals
1572299365697.png
 
Back
Top Bottom