Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Demo edit upate ten odss
Screenshot_20191029-085055.png
Screenshot_20191029-085108.png
 
Tena Huyu Muhuni Kacheza BTTS Tu Games Zote Moja Ikagoma

Jaman Watu Wana Nyota Zao

Mim Kila Siku Naliwa Hata Nikiweka Odds 1.5

Lakini Najifunza Kupitia Wanaokula

Ipo Siku Nitamywa Hata 1M
Bora odds kubwa uchambue vizur state ndogo ikija kutema unafaida hizo 1.5 zishanichania sana unakula alafu unamrudishia mwenyew km upatu vile state ndogo mikeka kazaa timu zako 10 au 15 ndan ya week 1 au 2 huwez kumkosa
 
Kweli Mkuu! Mimi Ni ODDS Mlima Non Stop Kuanzia Juzi
 
Bora odds kubwa uchambue vizur state ndogo ikija kutema unafaida hizo 1.5 zishanichania sana unakula alafu unamrudishia mwenyew km upatu vile state ndogo mikeka kazaa timu zako 10 au 15 ndan ya week 1 au 2 huwez kumkosa
Sem Ukiapata Nafanya Uwe Unatuwekea Hata Hata 50+ Tu Mkuu Kama Hutojali
 
Mkuu Tunashukuru Kwa Kutukumbuka Haya

Tuweke Pesa Sasa

Jamaa Kafungua Roho
Kufungua roho ni kuleta odds km alizoweka kwenye mikeka ya million hizo Mana hizo match Zina odds ndg sana match nying sana wakat odds 300 zile kwenye match 6 zinazoanzia 2 unapata mlima au alizoshinda ameeka odds km hizo na match km hizo nyingi
 
Achana nae boya huyo nifungue ili anipe faida gan kanji amesha mvuruga..haamin kinachotokea
Tusibishane hoja zisizojenga
Atakaye tengeneza odd 100+ na mkeka ukashinda nahaidi nitamrudishia stake yake, SITAANII
Yeyote yule na hii ni kwa wiki hii yote hadi jumapili
Piga odd 100+ nitag nakurudishia stake yako

Kwako mjinga aka idiot, hapa hujawasaidia watu bado
Wewe ni bingwa wa odd 100+ hata mara 10 kwa siku kwanini usiwatengenezee mikeka hata 10 au 20 wakibahatisha hata mmoja tu wana cover lost zote na faida kubwaa inabaki
Unawapa libehewa hilo kila mtu ajifie kivyake
Kuna watu odd 100+ hajawahi zipata toka ameanza kubeti
Toa code kaka
Au nawewe unajifanya ukishea mkeka unachanika😅😅😅😅😅😅😅
 
Bora odds kubwa uchambue vizur state ndogo ikija kutema unafaida hizo 1.5 zishanichania sana unakula alafu unamrudishia mwenyew km upatu vile state ndogo mikeka kazaa timu zako 10 au 15 ndan ya week 1 au 2 huwez kumkosa
Ukitaka kuiona bet mbaya amini hiki ulichoandika, kila siku utakua unaota mamilioni kwa buku
Hii ni kanuni ya "wacheza kamari" uroho, stake ndogo shinda kubwa.
Kanuni ya "wafanyabiashara wa kamari" inasema dont be greed
Watu ni wepesi sana kusahau kila wakati tunaelekezana humu jamani kinacho tulostisha ni tamaa ya odd nyingi stake kidogo uliupate kikubwa
Lakini leo mmeona jamaa kapost kapiga odd kubwa mfululizo mmegeuka tena mnarudi kulekule
Mtaliwa hadi mzipe shida familia zenu ebooo
 
Achana nae boya huyo nifungue ili anipe faida gan kanji amesha mvuruga..haamin kinachotokea
Mkuu ebu nifafanulie tofauti ya izo niliozungushia duara zote ni win team 1, naona kama moja mpaka overtime na penati au
PhotoGrid_1572333203369.jpeg
 
Kufungua roho ni kuleta odds km alizoweka kwenye mikeka ya million hizo Mana hizo match Zina odds ndg sana match nying sana wakat odds 300 zile kwenye match 6 zinazoanzia 2 unapata mlima au alizoshinda ameeka odds km hizo na match km hizo nyingi
Kaka kuna watu wameingia kwenye kubet bila kufanya walau kautafiti kwa kugoogle tu
Hawa ndio wachangia wazuri wa muhindi maana wao kila siku anadepositi buku mbili anaweka odd mlima apate hela ya kununulia vitz 😅😅😅😅
Akitokea mtu akawaaminisha odd mlima ni kitu rahisi watafuata kama makondoo bila kutumia akili
 
Kufungua roho ni kuleta odds km alizoweka kwenye mikeka ya million hizo Mana hizo match Zina odds ndg sana match nying sana wakat odds 300 zile kwenye match 6 zinazoanzia 2 unapata mlima au alizoshinda ameeka odds km hizo na match km hizo nyingi
Ok Your Are Right
 
Kaka kuna watu wameingia kwenye kubet bila kufanya walau kautafiti kwa kugoogle tu
Hawa ndio wachangia wazuri wa muhindi maana wao kila siku anadepositi buku mbili anaweka odd mlima apate hela ya kununulia vitz [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Back
Top Bottom