Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Idiot hauzi odds so angekuwa anauza odds ningesema anavutia watu pm awapige kama chichimizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka sasa bado haja prove kama ile mikeka ni kweli au la, hayo ya pm hatuwezi yajua maana scammer sharti la kwanza ni kukutaka usiseme chochote kuhusu pm au upige debe wapatikane wengi ili hela itoshe kununua fixed kama anazopost ameshinda
Ili kuondoa huu utata atupie mikeka hata 20 ya odd 100+ watu tulipuke ukishinda hata mmoja tu unapata faida ya asilimia 80 kudadeq
Kwenye mikeka yake ya ushindi ni mwendo wa odd 2 sasa huku katujazia treni la odd 1.3 tuhangaike nalo tupate odd 100+
Hivi odd 100+ mnadhani mchezo mchezo eeeh
Atakayepata namrudishia stake yake
 
Ukitaka kuiona bet mbaya amini hiki ulichoandika, kila siku utakua unaota mamilioni kwa buku
Hii ni kanuni ya "wacheza kamari" uroho, stake ndogo shinda kubwa.
Kanuni ya "wafanyabiashara wa kamari" inasema dont be greed
Watu ni wepesi sana kusahau kila wakati tunaelekezana humu jamani kinacho tulostisha ni tamaa ya odd nyingi stake kidogo uliupate kikubwa
Lakini leo mmeona jamaa kapost kapiga odd kubwa mfululizo mmegeuka tena mnarudi kulekule
Mtaliwa hadi mzipe shida familia zenu ebooo
Kweli mkuu ila kama utachambua vizur na mechi sio nyingi unatoboa ila ni mara chache sana ktk mikeka 50 amin huwez kukosa mmoja ila unatakiw utulize akili na hiyo ya odds 2,3 mbona tunatupia pia
 
Mpaka sasa bado haja prove kama ile mikeka ni kweli au la, hayo ya pm hatuwezi yajua maana scammer sharti la kwanza ni kukutaka usiseme chochote kuhusu pm au upige debe wapatikane wengi ili hela itoshe kununua fixed kama anazopost ameshinda
Ili kuondoa huu utata atupie mikeka hata 20 ya odd 100+ watu tulipuke ukishinda hata mmoja tu unapata faida ya asilimia 80 kudadeq
Kwenye mikeka yake ya ushindi ni mwendo wa odd 2 sasa huku katujazia treni la odd 1.3 tuhangaike nalo tupate odd 100+
Hivi odd 100+ mnadhani mchezo mchezo eeeh
Atakayepata namrudishia stake yake
Kusema Ukweli Mkuu Nashindwa Kufahamu Una Matatizo Gani!
Kwa Huu Ujumbe Unamaanisha Sisi Tunaomtetea Jamaa Tunashirikiana Nae Ili Kuwaibia Watu Then Hapo Hapo Unaomba Aweke Odds 100+ Sio Fair Unavyofanya, Tunakoseana Heshima Kwa Mambo Ya Kipuuzi.

Imagine Ni Wewe Unasemwa Hivi Unaweza Kuwek Mikeka Hapa??

Then Jana Ulituahid Kuwa Utaleta Mkek Wa 10+ Mbon Haujaleta,

Na Nakuona Unatamani Sana Uone PM Chart Ilivyo, Its Ok Nakupandishia Screeshort Uridhike

Ila Tu Mimi Kama Mdau Mmojawapo Hapa, Nakushauri Tusiwakwaze Watu Ili Kufurahisha Genge, Kumuita Mtu Jina La Ajabu Kam Mwizi, Tapeli Etc Wakat Huna Ushahid Sio Vizuri.

Napandisha Screenshort Ili Ujue PM Tulichart Nin Kam Nitakul BAN Sawa.
 
Hizi Hapa Screenshot Zote.

Tuepuke Kuwakwaza Wengine.

Sitazungumzia Tena Swala Hili

Asanteni
Screenshot_20191029-105223.jpeg
View attachment 1247762View attachment 1247763
 
Na mara nyingi kwenye mikeka hiyo sijawah kuloss zaid ya timu 3 mara nyingi ni moja au mbili na kama huamin jiulize wale wanaochez jackpot wanakuw na mategemeo gan timu 13 kwann usitafute za kwako timu 10 alf state uwone
Kweli mkuu ila kama utachambua vizur na mechi sio nyingi unatoboa ila ni mara chache sana ktk mikeka 50 amin huwez kukosa mmoja ila unatakiw utulize akili na hiyo ya odds 2,3 mbona tunatupia pia
 
NBA....?????

Nilipata hesabu yangu vzr tu kimbembe pale nilipoaanza Tamaa ya kuvuka lengo.......ila wakamaria wenzangu niwatoe wasiwasi Hawa jamaa nguvu za Giza zinahusika wana pepo flan la uvumbuzi linawasaidia kupanga odds za PRE match ....Bado naendelea na uchunguzi
Nimeshazibuliwa tayari..ngoja nilale kwanza!
 
NBA....?????

Nilipata hesabu yangu vzr tu kimbembe pale nilipoaanza Tamaa ya kuvuka lengo.......ila wakamaria wenzangu niwatoe wasiwasi Hawa jamaa nguvu za Giza zinahusika wana pepo flan la uvumbuzi linawasaidia kupanga odds za PRE match ....Bado naendelea na uchunguzi
Biashara nyingi ni vumba! Kuna kauchawi cha upotoshaji pia eti...😅😅😅
 
Mbona mkeka wenye odds 156 stake 20k aliweka apa ukiwa ume bakisha team 1 miliwall apige 3M na uli tiki mna taka afungue nn tena??

Mpaka sasa bado haja prove kama ile mikeka ni kweli au la, hayo ya pm hatuwezi yajua maana scammer sharti la kwanza ni kukutaka usiseme chochote kuhusu pm au upige debe wapatikane wengi ili hela itoshe kununua fixed kama anazopost ameshinda
Ili kuondoa huu utata atupie mikeka hata 20 ya odd 100+ watu tulipuke ukishinda hata mmoja tu unapata faida ya asilimia 80 kudadeq
Kwenye mikeka yake ya ushindi ni mwendo wa odd 2 sasa huku katujazia treni la odd 1.3 tuhangaike nalo tupate odd 100+
Hivi odd 100+ mnadhani mchezo mchezo eeeh
Atakayepata namrudishia stake yake
 
Kusema Ukweli Mkuu Nashindwa Kufahamu Una Matatizo Gani!
Kwa Huu Ujumbe Unamaanisha Sisi Tunaomtetea Jamaa Tunashirikiana Nae Ili Kuwaibia Watu Then Hapo Hapo Unaomba Aweke Odds 100+ Sio Fair Unavyofanya, Tunakoseana Heshima Kwa Mambo Ya Kipuuzi.

Imagine Ni Wewe Unasemwa Hivi Unaweza Kuwek Mikeka Hapa??

Then Jana Ulituahid Kuwa Utaleta Mkek Wa 10+ Mbon Haujaleta,

Na Nakuona Unatamani Sana Uone PM Chart Ilivyo, Its Ok Nakupandishia Screeshort Uridhike

Ila Tu Mimi Kama Mdau Mmojawapo Hapa, Nakushauri Tusiwakwaze Watu Ili Kufurahisha Genge, Kumuita Mtu Jina La Ajabu Kam Mwizi, Tapeli Etc Wakat Huna Ushahid Sio Vizuri.

Napandisha Screenshort Ili Ujue PM Tulichart Nin Kam Nitakul BAN Sawa.
Mzee baba nimefuatila vizuri sana mwanzo wa hii kitu
Mkuu Mayu alianzisha hii kwa hoja nzuri sana kwamba
Idiot anaposti mikeka yenye odd kubwa sana zilizo shinda tu, akatoa tahadhari kuna matepeli wengi wamekuja kwa gia hiyo na kumtaka muhusika awe anatoa tips kabla atasaidia wengi na atakua tofauti na matapeli waliokuja kwa staili hiyo
Jibu la kwanza la idiot ni kuwaita vichwa maji wanao hoji mikeka yake ya maajabu na kwamba amechanganyikiwa na vipigo
Nakuhakikishia haya ndio majibu ya scammer wote duniani kuku undermine na ukitaka screen shot za matapeli waliopita hapa jf ntakutafutia nikama haya
Hizo screenshot zako hazi halalishi bet za jamaa yako
Sababu kwenye mikeka yake imeonekana kabisa ameweka soka tena direct win lakini wewe anakwambia anaweka own goal, unajua odd za own goal wewe? Ni 1.02 hadi 1.05 utaweka ngapi upate odd 20 tu achilia mbali 100+ hata kama anachanganya?
Hakuna uhalisia wowote wa anachojaribu kuprove wala unachojaribu kuprove wewe
Tunatia moyo watu wanao saidia watu kumshinda muhindi na sio wanao posti ushindi usiothibitika
Angekuwa mstaarabu angethibitisha vizuri sana kiungwana
Fikiria ungekua wewe kabla ujawaita watu vichwa maji na unashinda kweli ungethibitisha vipi kiungwana kabisa?
 
Mkuu ebu nifafanulie tofauti ya izo niliozungushia duara zote ni win team 1, naona kama moja mpaka overtime na penati auView attachment 1247740
Ice hockey ni kama basketball tu hainaga sare. Mkitoa sare mnaenda extra mpaka mshindi apatikane. So hapo hizo odd 1.9 ni ashinde katika normal time(wakitoa sare mkeka umechanika). Ile odd ya 1.5 ashinde tu haijalishi ni normal time au extra.
 
Mzee baba nimefuatila vizuri sana mwanzo wa hii kitu
Mkuu Mayu alianzisha hii kwa hoja nzuri sana kwamba
Idiot anaposti mikeka yenye odd kubwa sana zilizo shinda tu, akatoa tahadhari kuna matepeli wengi wamekuja kwa gia hiyo na kumtaka muhusika awe anatoa tips kabla atasaidia wengi na atakua tofauti na matapeli waliokuja kwa staili hiyo
Jibu la kwanza la idiot ni kuwaita vichwa maji wanao hoji mikeka yake ya maajabu na kwamba amechanganyikiwa na vipigo
Nakuhakikishia haya ndio majibu ya scammer wote duniani kuku undermine na ukitaka screen shot za matapeli waliopita hapa jf ntakutafutia nikama haya
Hizo screenshot zako hazi halalishi bet za jamaa yako
Sababu kwenye mikeka yake imeonekana kabisa ameweka soka tena direct win lakini wewe anakwambia anaweka own goal, unajua odd za own goal wewe? Ni 1.02 hadi 1.05 utaweka ngapi upate odd 20 tu achilia mbali 100+ hata kama anachanganya?
Hakuna uhalisia wowote wa anachojaribu kuprove wala unachojaribu kuprove wewe
Tunatia moyo watu wanao saidia watu kumshinda muhindi na sio wanao posti ushindi usiothibitika
Angekuwa mstaarabu angethibitisha vizuri sana kiungwana
Fikiria ungekua wewe kabla ujawaita watu vichwa maji na unashinda kweli ungethibitisha vipi kiungwana kabisa?
Mikeka haifunguliwi yote ikaonekana hapa

Wengne wanasema code wameingza Ixbet zimesoma wakat hio inaonekana ni 22bet japo ni sawa

Screenshot zenyew zimefnyiwa crop inakuaje mtu anaonesha amewon kiac gan kwenye mkeka ila pale juu ameshindwa kuacha tukaona from date ngap to date ngap ana kiac gan kwenye account yake

Halafu mhusika mwenyew ameambiwa anajbu shombo hasira tupu

Amekuja na mkeka wa team kibao ambazo ni odds ndg sana hizo ni rahic kuselect Mana ni uamuz tu kusema naweka odds chini ya 1.5 bac nampa win angeleta japo match 6 kwa odds hizo km zilzokua kwenye mkeka aloupost hapa

Nimeibiwa siku moja tu dar 300K in cash na ilkua out of my knowledge sikua kwenye akili na.haitotokea tena kuibiwa
 
Niliposti mikeka ya handball na volleyball hapa ikiyokwishachezwa mmoja wa odds 300 unachanika kwa team moja zilkua 10 na handball nimewon odds mpk 74 ila lengo lillkua kutoa ushaur tu watu waangalie na huko pia kunainglka na wapo waliokuja pm kuuliza napata wapi tips niliwajbu NATUMIA AKILI YANGU TU KUCHAGUA BASI wakat hapo nilkua na uezo wa kumpga mtu Mana ningemuambia tu mtu nannua tips bac angezitaka nicngekubal kumpa bure wakat lahasha ilkua bahat tu
 
Back
Top Bottom