Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Humo humo na leo nimeamua ni jarib hz ice hockey...wale wazee wa odd mbili mbili ukichambua humo kanji hatoka..kama kawaida me nibehewa natia ten au twenty
 

Attachments

  • Screenshot_20191029-143933_Print Spooler.jpg
    Screenshot_20191029-143933_Print Spooler.jpg
    148 KB · Views: 20
Jukwaa hili kipindi hicho bana kulikua na manguli haswa, ni mwendo wa kupeana ma possible kulingana na ujuzi wa kila mmoja
Lakini tangia utoto wa kuanza kupost won badala ya possible ulipoanza na vichwa vyote vikakaa pembeni
Hongera kwa Void, Mayu Basiasi stevemollel nabaadhi angalau ukija kuchungulia humu unakuta wapost tips na ukikomaa nazo hukosi angalau
Tuliobaki kazi ni kupost won tu
Tubadilike muhindi atatubabua sana kwa mwendo huu
Shida mkuu. Ebu tuambae na hizi kwa leo. Usichanganye. Tukutane jioni. Hiyo ya 4 tumekawia.
WatermarkPhoto20191029030228.jpg
WatermarkPhoto20191029030607.jpg
WatermarkPhoto20191029031323.jpg
WatermarkPhoto20191029031814.jpg
 
yaani PLAYMASTER TANGU WAMEGUNDUA WATU TUNAPIGA PESA KWA NJIA YA OPTION YA SUB WAMESHUSHA YAANI ODDS ZA SUB MARA WANAWEKA 1.17, 1.14, 1.13 AU 1.15 YAANI WANATUZIBIA PESA ILA SASA INABIDI TUHAMIE KWENYE RED CARDS INGAWA NA PENYEWE HUWA PAGUMU LAKINI TUTAKOMAA HIVYO HIVYO...
 
Wakuu msaada wenu,, Ivi ni njia gan ya kuweka na kutoa pesa 1xbet yenye unafuu?? Nikimaanisha minimum amount ya kuweka na kutoa iliyo nafuu
 
[emoji81][emoji81][emoji81] duh! Nimechunguza hyo mikeka watu wanajua kujikunja[emoji114][emoji114][emoji114]
 
Jamaa Kashakuonyesha! Nikwambie Kitu Bro! Acha Wivu Wa Kike Unapomsema Mtu Mikeka Yake Fake 100% Una Maana Ni Tapelii

Sio Vizuri Wanaume Hatupo Hivyo, Ukiona Mshikaji Katoboa Jifunze Kupitia Kwake Sio Kumnanga Kiasi Hiki.

Tusipoangalia Tutawakosa Watu Wengi Kwenye Huu Uzi, Kisa

Wakipost Walivyokula Ni Matapeli.

Wakipost Kabla Ya Kula Mkiliwa Au Mkeka Ukichanika Mnasema Ni Agent Wa Bookmakers.

Huu Ujinga Lazima Tuukatae, Tuwe Wawazi Na Tuache Wivu Wa Kike

Kwenye Ndio Tuseme NDIO, Kwenye Sio Tuseme HAPANA.

Mkuu nimeku pm
 
Back
Top Bottom