Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 2,050
- 2,964
Naona Odds za kibabeVp wadau imekaaje apo[emoji848] ikifail hii naacha kubet maisha
[emoji80]View attachment 1248118
Naona Odds za kibabeVp wadau imekaaje apo[emoji848] ikifail hii naacha kubet maisha
[emoji80]View attachment 1248118
Umedhamiria kutoka kwenye hii industry mzeeVp wadau imekaaje apo[emoji848] ikifail hii naacha kubet maisha
[emoji80]View attachment 1248118
ukishinda utatoaje?Hatimaye nimefanikiwa kudeposit kwa paypal
Ni kashenz kweli..yan haka kajamaa kaanafata mtu hadi Pm kuomba hela!Angekuwa demu ningeshampa zamani
kwa paypal hiyohiyoukishinda utatoaje?
Balance ipo 0.00 alafu unajidai unaweka 150000, sasa sijui unamtishia naniVp wadau imekaaje apo[emoji848] ikifail hii naacha kubet maisha
[emoji80]View attachment 1248118
Haha hahah Mimi nimelaza 20,500 hapaEe manzee sukeni mkeka tupige ela apa ...kuna kama twenty aina kazi ..sukeni mkeka wa laki tatu ..ukitiki sabini ya kwako.
Kumbe huwa unafika mpaka huku mzee baba!Ee manzee sukeni mkeka tupige ela apa ...kuna kama twenty aina kazi ..sukeni mkeka wa laki tatu ..ukitiki sabini ya kwako.
Huwezi kuachwa hapa. Lazima upigwe. Unampa kilaza alaves atoe droo na Atletico. Tuacheni utani wakati mwingine.Vp wadau imekaaje apo[emoji848] ikifail hii naacha kubet maisha
[emoji80]View attachment 1248118
Inakuja shi ngap apo mkuu ..mimi nataka 300k..Kumbe huwa unafika mpaka huku mzee baba!
Chukua odds 3 hapa.
Atletico madrid win n U 3.5 odds 1.92
Barcelona win n U 4.5 odds 1.63
Na mwisho mpe dundee united. Odds 1.53.
Kazi njema
Vp wadau imekaaje apo[emoji848] ikifail hii naacha kubet maisha
[emoji80]View attachment 1248118
Treni lip mkuu mbna bado linapumuaWazee wenzangu wa Ice Hockey kuna mmoja keshaunguza treni la mwanzo kabisa...😡
Mimi nimekupa odds kama 4.8 angalia kwa wadau wengine zinaweza kufika 15.Inakuja shi ngap apo mkuu ..mimi nataka 300k..
Matren bado yanapumuaTreni lip mkuu mbna bado linapumua
Pole mkuu chambua kwenye basket humo kama una roho ngumu kama yangu tia mzgoSisi wa betpawa twaumia maana hatuna ice hockey
Si wanasema withdraw via paypal bongo haiwezekani? au upo nje ya bongo? maana kama ni hivyo mimi nina akauti ya paypal zaidi ya miaka 5 kwa ajili ya kununua vitu ebay nisingekuwa nahangaika na njia nyingine.kwa paypal hiyohiyo