Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sparta leo ametulaza na viatu angewin ilikua shereh mpya amechana mikeka minne dah ila hockey hzo
Kwwli Mkuu, Asante Na Usichoke Kushea Nilikufuata Mikeka Yote Kwa Buku Jero Kila Mmoja.

Odds Zako Nyingi Ziko Real, Usichoke Ku Share Siku Tukifurahi Tufurahi Wote Nimebaki Na Huu Tu Unapumulia Mashine.

All In All Asante Sana.
IMG_20191029_225905_941.jpeg
 
Wamenikera sana nilikuwa naponea hapo. Yaani game nne tu nina odd 2.07
Now nabangaiza kwenye 2+ na no red card. Ila red card nazo kuna muda kichomi sana
yaani PLAYMASTER TANGU WAMEGUNDUA WATU TUNAPIGA PESA KWA NJIA YA OPTION YA SUB WAMESHUSHA YAANI ODDS ZA SUB MARA WANAWEKA 1.17, 1.14, 1.13 AU 1.15 YAANI WANATUZIBIA PESA ILA SASA INABIDI TUHAMIE KWENYE RED CARDS INGAWA NA PENYEWE HUWA PAGUMU LAKINI TUTAKOMAA HIVYO HIVYO...
 
Tatu za mwanzo zimekubali. Tuombeane basi mechi ya mwisho half time kuwapo bao mbili (First Half total over 1.5) ili nipate 40k. Nalala mtaniamsha

1572382916817.png
 

Attachments

  • 1572382297294.png
    1572382297294.png
    13.4 KB · Views: 15
Back
Top Bottom