Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh leo nimejiunga na iyo parimatch.co.tz asee nimeshindwa kuitumia kwa maana inampangilio mbayaaa na mbovu sanaaa huwana napenda kubet kwa kutumia pc nimeshindwa yan nyie endeleeni kuwatumia tu
 
Hapo Kwa Chelsea Mkuu Kwa Sasa Chelsea Anakikosi Kipana Cha Madogo Wenye Uwezo Mzuri Kuliko Man U.

Maana Makocha Wengi Carabao Wanachezesha Kikosi Cha Pili Ambacho Kwa Lampard Akifanya Rotation Yeyote Anakuwa Na Kikosi Bora Kuliko Man U.

Kuwa Na Tahadhari Hapo Mkuu.

Pia Game Ya Liverpool Kiukweli Hivi Karibuni Haina Historia Nzuri Sana Na Vikombe Vidogo Kama Carabao.
Heri Uweke Option Ya Magoal Hapo Kwa Liverpool Maana Anaweza Kufa Kama Kawaida Yake Kwenye Hivi Vikombe Vidogo Vidogo.
 
Huyu ana hali saiv
Ndo uwekezaji atletico.los angel.na nob wamezingua
Screenshot_20191030-100812.png
 
Hapo Kwa Chelsea Mkuu Kwa Sasa Chelsea Anakikosi Kipana Cha Madogo Wenye Uwezo Mzuri Kuliko Man U.

Maana Makocha Wengi Carabao Wanachezesha Kikosi Cha Pili Ambacho Kwa Lampard Akifanya Rotation Yeyote Anakuwa Na Kikosi Bora Kuliko Man U.

Kuwa Na Tahadhari Hapo Mkuu.

Pia Game Ya Liverpool Kiukweli Hivi Karibuni Haina Historia Nzuri Sana Na Vikombe Vidogo Kama Carabao.
Heri Uweke Option Ya Magoal Hapo Kwa Liverpool Maana Anaweza Kufa Kama Kawaida Yake Kwenye Hivi Vikombe Vidogo Vidogo.
Htt x unalala
 
*``Never change ur originality for the sake of others. No one can play ur role better dan u So Be urself!...*``
*IBMM*✍✍

*Good MorninG Famz*
 
kwema wakuu..naombeni kuuliza kwa wanaotumia skrill account.ukiwithdrawal payment kwenye account inachukua mda gani kuonekana kwenye bank account?maana ndo first time naitumia na sijapokea cash mpaka sasa
Ni bank gan ume i link na Skrill account?
 
Jamani kwa 1xbet deposit kwa Airtel money master card. Lakini sijaju kama inatoa.
 
Hapo Kwa Chelsea Mkuu Kwa Sasa Chelsea Anakikosi Kipana Cha Madogo Wenye Uwezo Mzuri Kuliko Man U.

Maana Makocha Wengi Carabao Wanachezesha Kikosi Cha Pili Ambacho Kwa Lampard Akifanya Rotation Yeyote Anakuwa Na Kikosi Bora Kuliko Man U.

Kuwa Na Tahadhari Hapo Mkuu.

Pia Game Ya Liverpool Kiukweli Hivi Karibuni Haina Historia Nzuri Sana Na Vikombe Vidogo Kama Carabao.
Heri Uweke Option Ya Magoal Hapo Kwa Liverpool Maana Anaweza Kufa Kama Kawaida Yake Kwenye Hivi Vikombe Vidogo Vidogo.
Tangu 2017 liver hajawai poteza anfield anaanzaj kufa
 
Back
Top Bottom