Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jamani hii so dhuluma au nini hichi naomba msaadaView attachment 1248710
Oi mwamba nimejaribu kureview hyo match ulowekew draw n kweli timu zilimalza 90min 2-2 extra time likaongezwa la tatu hii apo match form
Screenshot_20191030-115044.jpeg
 
wazee kuna jambo nahitaj kusaidiwa.... kam kuna anajua namna naeza deposit ela galspot kwa namba tofaut na niliosajilia...
 
Indonesia
Persepam MU - PS Tni
Tip : over 2.5

Italy
US Lecce youth - Benevento Youth
Tip : Both teams to score and over 2.5

Total odds
3+ odds
 
Wakuu naombeni kuuliza hivi ni kampuni gani ina optn ya magoli ya kujifunga mwenyewe.
 
Pia hyo bitcoin Unaweza pokelea pesa?
So far ndio njia ya uhakika
Hizo card za mitandao ya simu ni za kufanyia malipo tu na sio kupokelea hela, hii ni kwa mujibu wa uzoefu wangu wa mpesa mastercard Namna ya kufanya bofya link hizo

Video
 
Msitumie Airtel mastercard kudepost 1xbet au 22bet soon itafungiwa
Bora kutumia card za bank zinazo kubali au bitcoins

Card za bank nazo ipo siku zitafungiwa sababu maelekezo ya BOT ni marufuku taasisi za kifedha kufanya transactions na kampuni za kamari zisizo na usajili bongo
Bitcoins ndio njia ya panya yenye uhakika maana serikali haina mkono wake huko
 
Back
Top Bottom