Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

“Win by one goal or draw”

Msaada wa hiyo option, nina maana yake halisi

Ashinde kwa goal moja tu asizidi zaid ya moja au draw ya 1-1/0-0. Japo nahis kwenye draw inaweza kuwa draw yoyote ila ushindi ndo lazima iwe goal moja tu
 
Mfano hii
ili bet ishinde matokeo yaweje?
IMG_20191030_154233_785.jpeg
 
Nimekosea kwenye ku deposit meridian ,nimeweka namba ya kumbukumbu tofauti hii inakuaje badala ya 1352730 nimeweka 1352739 vp hapo wadau kuna mtu iliwahi kumtokea?? Na nani anamba ya customer care ya meridian
 
Back
Top Bottom