Mduku
JF-Expert Member
- Nov 8, 2017
- 302
- 163
2/1 inamaanisha nn mkuuNa Hiki Leo Ndio Kipimo Changu Cha Hawa CAMPO BET
Ikitoa Hii Nitawaamini MiLELE
View attachment 1249060
2/1 inamaanisha nn mkuuNa Hiki Leo Ndio Kipimo Changu Cha Hawa CAMPO BET
Ikitoa Hii Nitawaamini MiLELE
View attachment 1249060
Duh leo nimejiunga na iyo parimatch.co.tz asee nimeshindwa kuitumia kwa maana inampangilio mbayaaa na mbovu sanaaa huwana napenda kubet kwa kutumia pc nimeshindwa yan nyie endeleeni kuwatumia tu
Nikiwa mkubwa na mimi nataka kua kama troublemaker [emoji23][emoji23]
Kwa style hiyo watafilisi watu
Kwanini?[emoji23][emoji23][emoji23]
Pesa hiyo weka hadi nyumba!
Anatupa motisha,pia kujua team gani huwa zinashinda!! mbona akituma possible huwa mazifuati??
pesa hii kulwa, all over 1.5
Kwa watumiaji wa supa betting hii bonus nawezaje kuitumia?!!View attachment 1249350
Mwenyew mempa doubleYaan sociedad nimempa double chance lkn hadi sasa keshachezea mbili
Naona karudsha mojaYaan sociedad nimempa double chance lkn hadi sasa keshachezea mbili
washanichania mkeka hao mbwa kabla hata game haijaanza,nimeona kikosiKaka mimi kama shabiki wa Liverpool nilifuatilia press na kocha msaidizi akaweka wazi mfano golikipa atakuwa ni wa wale madogo
😀😀😀😀washanichania mkeka hao mbwa kabla hata game haijaanza,nimeona kikosi
Umeona cha arsenal bro,usiongee upande mmjawashanichania mkeka hao mbwa kabla hata game haijaanza,nimeona kikosi
Hio superbet wana airtel money?