Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

[emoji383][emoji383][emoji383][emoji383][emoji383]
20191031_090846.jpeg
 
VIDEO;
Jinsi ya kudeposit 1xbet kutumia Bitcoins

Nimeikuta sehemu
Maelekezo yanaanza baada ya kuwa tayari umefungua acc Buy and sell bitcoins in Tanzania, with cash and online
Hvi hyo localbitcoins ina APP maana kule play store nimezkuta hata sielewi ipi no njema
 
Today's best winning team. Check it out and CASH money from SOCCER......
***Romania Cup
CS Voluntari Vs Universitatea = Over 2.5
========================≠====
***Norway
Odd Greenland Vs Haugesund = over 2.5
============================
***Bulgaria
Levski Sofia Vs Fc Dunav Rusel = 1 & over 1.5
============================
***Italy
Ac Milan Vs Spal = 1 & over 1.5
=======}======={{{={={{===========
***Spain
Getafe Vs Granada = 2 & over 1.5
============≠================
Switzerland
Lausanna Vs Neuchhatel = 1 & over 1.5

GOOD LUCK
 
Elber try UND 3.5
or gg N ov 1.5 more safe
 
Mnaotumia 1xbet app inafunguka..?Coz kuanzia asubuh me nikifungua app inafunguka ila haileti chochote.. Nimeifuta na kudownload upya ila hakuna mabadiliko.
 
Mie kuna pesa mle 1X, APP inafunguka vizuri ila kwenye web sms ya code kwenye simu yangu haifiki tangu jumatatu nimejaribu mara nyingi sana. Nimeongea na kutuma sms kwa maagent, kutuma e-mail nikaclear cache na kureboot kifaa changu sijafanikiwa. Kuna aliyewahi kuexperience hili tatizo na anajua ufumbuzi anisaidie?
 
Sijakukuelewa "kwenye web sms haifiki*

Namba unajaza sawa sawa? Unatakiwa kujaza no zinazo miss kwenye huyo pop up window inayotokea, na sio kuja namba yote
Sijui kama tupo pamoja?

Ujumbe mfupi hauji kwenye simu yangu namba napatia na naambiwa ujumbe umetumwa una code ila haufiki ili nijaze pale nipate access ya kuitumia 1X BET
 
Back
Top Bottom