Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 8,686
- 14,373
Hiyo ni kwa app au web?Ujumbe mfupi hauji kwenye simu yangu namba napatia na naambiwa ujumbe umetumwa una code ila haufiki ili nijaze pale nipate access ya kuitumia 1X BET
Ikigoma huku jaribu kule
Hiyo ni kwa app au web?Ujumbe mfupi hauji kwenye simu yangu namba napatia na naambiwa ujumbe umetumwa una code ila haufiki ili nijaze pale nipate access ya kuitumia 1X BET
Liverpool kapewa goli moja kabla..Mbona sijaelewa hizo handcap? Maana liverpool na aseno wametoa sare, cap imekujaje hapo? Ufafanuzi kidogo
Sasa hiyo ni cap sare au?Liverpool kapewa goli moja kabla..
Mimi ishawahi kunitokea hiyo kitu....Ujumbe mfupi hauji kwenye simu yangu namba napatia na naambiwa ujumbe umetumwa una code ila haufiki ili nijaze pale nipate access ya kuitumia 1X BET
Sio ww tu ata mmUjumbe mfupi hauji kwenye simu yangu namba napatia na naambiwa ujumbe umetumwa una code ila haufiki ili nijaze pale nipate access ya kuitumia 1X BET
Sasa hiyo ni cap sare au?
tumieni 22bet hawana longo kabisaaa..kuanzia kudeposit mpaka kuwithdrawSio ww tu ata mm
CAP haiji yenyewe, unaweka wewe unaebet. Nilisema mwanzo cap ni magoli ya mezani. Cap ya Goli moja kwa liver inamaanisha matokeo yoyote ya uwanjani, liver utamuongezea goli 1 kisha ndo uangalie mshindi atakua nani.Mbona sijaelewa hizo handcap? Maana liverpool na aseno wametoa sare, cap imekujaje hapo? Ufafanuzi kidogo
Hivi mastercard ya Crdb inafaa kudeposit na kuwithdraw 22bet?tumieni 22bet hawana longo kabisaaa..kuanzia kudeposit mpaka kuwithdraw
Tumia za BankABC na Master card ya EXIM mkuu, CRDB walaHivi mastercard ya Crdb inafaa kudeposit na kuwithdraw 22bet?
Makn san Mkuu nmekufuatttttaElber try UND 3.5
or gg N ov 1.5 more safe
[emoji736][emoji736]MAOMBI YENU
View attachment 1250365
[emoji736][emoji736]
Vipi kuhusu NMB Master card mkuuTumia za BankABC na Master card ya EXIM mkuu, CRDB wala