Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,572
Walinipigia wakanipatia code. Kuna namba ya mdada wa kenya ukiwasiliana naye ndiye atakupigia simu kwa namba ya uingeleza afu atakusomea kodi za kutolea hela
Mie kuna pesa mle 1X, APP inafunguka vizuri ila kwenye web sms ya code kwenye simu yangu haifiki tangu jumatatu nimejaribu mara nyingi sana. Nimeongea na kutuma sms kwa maagent, kutuma e-mail nikaclear cache na kureboot kifaa changu sijafanikiwa. Kuna aliyewahi kuexperience hili tatizo na anajua ufumbuzi anisaidie?
