Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

jaribu kuangalia upepo wa makampuni mengine..
NI KWELI MKUU KUNA. MAKAMPUNI YAK KWA AJILI YA KUFILISI WATU YKIHAMA UNASHANGAA UNABET NA ADABU
KUNA KAMPUNI MOJA ILINILA SANA YAAN NAWEKA HELA KABISA ILA MWISHO NAISHIA KUONGEZA HATA OV 0.5 NA HIO NDIO INACHOMA
LEO HII NINACHOANDIKA NDICHO NAINGIA KWA PHNE KUBET HATA KAMA.NTAONA OV 0..SIBET NJE NA NILICHOSEARCH
 
Wadau wa 1x mliowah kutoa pesaa kwa visa card.*iv kweli min amount unaezaa kias kubwa hvo.karib 127000
Screenshot_20191101-131528.jpeg
 
Kufunguaa hzo account nyinginee inakubali kweli..waksti nadeposit walikubali..sasaa natoaa2wananiambiaa min 127000 c ujingaa huoo..we umeshawah najarib kufungua still wstakubali.
hawa wapuuzi kila siku wanapandisha kiwango cha kuwithdraw,kwanza huwezi kuitoa hiyo hela kwa visa maana visa na mastercard zipo disabled.hapo kuitoa ni either utumie skrill or bitcoins
 
Daah Mimi mwenyew inanizingua kutoa nimefata maelezo yao yote bado inazingua ngja nieendelee kukomaa nao
fungua account skrill,then fanya deposit hata ya hela ndogo kutoka skrill kwenda 1x.Baada ya hapo utaweza kuwithdraw hiyo hela kupitia skrill.Mm ndo nilitumia njia hii kuipata hela yangu baada ya kusumbuka sana
 
Kufunguaa hzo account nyinginee inakubali kweli..waksti nadeposit walikubali..sasaa natoaa2wananiambiaa min 127000 c ujingaa huoo..we umeshawah najarib kufungua still wstakubali.
ndo ipo hivyo wanakubali kudeposit ila kuwithdraw wanaweka vikwazo
 
Nashkuru.ndgu..daah hya makampuni y mke cio ya kuyaamini kabisaa yan..ngjaa najarib kujifunzaa kuhusu skrill kwnz af niweke
fungua account skrill,then fanya deposit hata ya hela ndogo kutoka skrill kwenda 1x.Baada ya hapo utaweza kuwithdraw hiyo hela kupitia skrill.Mm ndo nilitumia njia hii kuipata hela yangu baada ya kusumbuka sana
 
Dijon v PSG – HT/FT PSG-1.55
Zwolle v Ajax – HT/F Ajax-1.44
Galatasaray v Rizespor – Home win -1.45
De Graafschap v Excelsior – Home win -1.45
Cambuur v NEC Nijmegen – Over 2.5 goals FT -1.44
 
Cambuur v NEC Nijmegen – Home win & BTTS -2.87
De Graafschap v Excelsior – Home win
 
Jamani ofa yangu ya odd mlima bado imesimama pale pale
Shinda odd 100+ urudishiwe stake yako

Ningesema odd 2 mbona ingekuwa balaa maana zinatoka kila dakika

Guyz siri no 1 ya bet ni usiwe mroho
Tunafeli sana kuweka 1000 upate milioni au laki 5
Ukikomaa na odd 2 au 3 hautajuta sana kama odd mlima
Tunakumbushana
Leta mikeka Mkuu Tufanye kazi hizi Mboyoyo za Odd 2 sijui 3 kila siku tunazisikia
 
Back
Top Bottom