Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Sub mlikua mnaweka je?
Over 5.5
Unachambua kidogo unaangalia timu yenye wastani mzuri wa kufanya sub zote tatu kwa timu zote. Na wasiwe na majeruhi wengi.
Ipo playmaster kwenye other markets chini kabisa ila ni kwa ligi kubwa tu na kwa michuano mikubwa kama national,europa na ucl.
Ila ukiweza kuotea under 5.5 bingo odd 4+
Il
 
Tukutane asubuhi odds 4.53
Screenshot_2019-10-30-00-38-48.jpeg
 
Wazee wa BTTS kama mzoefu wa Mexico na Colombia sa 1 asubuhi unaamka na mchongo hizo nilizo mark sure BTTS .Note: akili za kuambiwa mix na zako imeisha hyo tyri
Screenshot_20191030-010153.jpeg
Screenshot_20191030-010300.jpeg
 
Yani betting kuna kama kauchawi fulani hivi mkuu keka niliuanda vizuri sana na nika share humu kwenye group odds 6+ safi. Nikaenda tigo pesa nikaweka 25k ni ni weke matokeo yake nikachuku 20k nikaweka msenge atletico ,parma double chance na inter huu ni kaweka chenji iliyobaki...yani mkeka nimeanda siku mbili nakuja kuweka pesa mbuzi daaah
 

Attachments

  • Screenshot_20191030-010342.png
    Screenshot_20191030-010342.png
    44.1 KB · Views: 13
Odds; usiku wa kuamkia kesho
Mexico:
San Luis vs America=BTTS

Club Santos Laguna vs Queretaro=BTTS

MLS:
L.A vs Sounders= 1ordraw

Total Odds;3
[emoji848]changanya na akili zako zangu zmeishia apo tkutane mornee
 
You are not really fair my brother, kuwatoa watu kwny group doesn't guarantee your winning, chukulia wa2 wote xawa afu kumbka unayemdharau anaweza kua na mchango mkubwa zaidi yako
Naomba mniunge kwenye group tafadhali
 
Sijawai kula jackpot hata mia labda ni mgeni. Ila imani yangu siachi kuweka 100 kwa hela wanazoweka. Nahitaji predicts zako mkuu. Huwa naishia 7 au 8 win zangu na ulivyoweka Leo tumeachana kwenye Amiens maana mm nlimnyima. Ila nmeweka tena kama ulivyoweka Ww. So next kiongozi msaada wako. Na huwa nabet jackpot tu
Wale wa jackpot 10 million hiyo hapo kazi kwenu sipendi niwanyime hela Mimi,, ukila tukutane kwenye K-vant na Nyama choma na kitimoto,,
 
kwema wakuu..naombeni kuuliza kwa wanaotumia skrill account.ukiwithdrawal payment kwenye account inachukua mda gani kuonekana kwenye bank account?maana ndo first time naitumia na sijapokea cash mpaka sasa
 
wadau mliofanikiwa kudeposit kwa airtel money master card,mlifanyaje nimejaribu inagoma
IMG_20191030_084216.jpeg
 
Back
Top Bottom