NI KWELI MKUU KUNA. MAKAMPUNI YAK KWA AJILI YA KUFILISI WATU YKIHAMA UNASHANGAA UNABET NA ADABUjaribu kuangalia upepo wa makampuni mengine..
hawa wapuuzi kila siku wanapandisha kiwango cha kuwithdraw,kwanza huwezi kuitoa hiyo hela kwa visa maana visa na mastercard zipo disabled.hapo kuitoa ni either utumie skrill or bitcoinsWadau wa 1x mliowah kutoa pesaa kwa visa card.*iv kweli min amount unaezaa kias kubwa hvo.karib 127000View attachment 1250737
hawa wapuuzi kila siku wanapandisha kiwango cha kuwithdraw,kwanza huwezi kuitoa hiyo hela kwa visa maana visa na mastercard zipo disabled.hapo kuitoa ni either utumie skrill or bitcoins
fungua account skrill,then fanya deposit hata ya hela ndogo kutoka skrill kwenda 1x.Baada ya hapo utaweza kuwithdraw hiyo hela kupitia skrill.Mm ndo nilitumia njia hii kuipata hela yangu baada ya kusumbuka sanaDaah Mimi mwenyew inanizingua kutoa nimefata maelezo yao yote bado inazingua ngja nieendelee kukomaa nao
ndo ipo hivyo wanakubali kudeposit ila kuwithdraw wanaweka vikwazoKufunguaa hzo account nyinginee inakubali kweli..waksti nadeposit walikubali..sasaa natoaa2wananiambiaa min 127000 c ujingaa huoo..we umeshawah najarib kufungua still wstakubali.
fungua account skrill,then fanya deposit hata ya hela ndogo kutoka skrill kwenda 1x.Baada ya hapo utaweza kuwithdraw hiyo hela kupitia skrill.Mm ndo nilitumia njia hii kuipata hela yangu baada ya kusumbuka sana
Kuweka kwenye skrill unatumia nini??fungua account skrill,then fanya deposit hata ya hela ndogo kutoka skrill kwenda 1x.Baada ya hapo utaweza kuwithdraw hiyo hela kupitia skrill.Mm ndo nilitumia njia hii kuipata hela yangu baada ya kusumbuka sana
Wakuu hiyo alama nyeusi apo juu pemben ya namba moja ina maana gani, nmeanza kuiona tokea jana. View attachment 1250769
Hiyo ni Icon ya Android System kwahyo hapo wanamaanisha Ukitaka kudownload app yao inayoweza kufanya kazi kwenye Mfumo wa Android Bofya hapo kwenye hiko kialamaWakuu hiyo alama nyeusi apo juu pemben ya namba moja ina maana gani, nmeanza kuiona tokea jana. View attachment 1250769
jaribu kuangalia upepo wa makampuni mengine..
Leta mikeka Mkuu Tufanye kazi hizi Mboyoyo za Odd 2 sijui 3 kila siku tunazisikiaJamani ofa yangu ya odd mlima bado imesimama pale pale
Shinda odd 100+ urudishiwe stake yako
Ningesema odd 2 mbona ingekuwa balaa maana zinatoka kila dakika
Guyz siri no 1 ya bet ni usiwe mroho
Tunafeli sana kuweka 1000 upate milioni au laki 5
Ukikomaa na odd 2 au 3 hautajuta sana kama odd mlima
Tunakumbushana
Ndio hiyo mkuuWadau wa 1x mliowah kutoa pesaa kwa visa card.*iv kweli min amount unaezaa kias kubwa hvo.karib 127000View attachment 1250737