Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Bado sijatoa japo inapungua tu. View attachment 1254464
Mkuu ungetoa kwanza ndipo ubakize kiasi tu km mtaji kanji cyo mtu mzuri kabisa anaweza ipukutisha yote kiongozi. Jamaa yngu alishawai niambie pesa ata iwe kubwa vipi ikiwa kwenye bet account unaona ya kawaida sana ikipukutishwa ndio akili zinagutuka kuwa umepigwa parefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…