Baada ya vipigo kuniandama nimewakumbuka hadi wanangu bankocep miaka ya 2016!View attachment 1254542
Ahahah dah kipindi hicho walikuwa wanakimbiza balaa
Laini ninayo, ipo darisalama.Wakuu wapi naweza pata lain ya safari com?
M-BET wanazngua, tangu juzi hawataki kunitumia hela, nawapgia wanasema wanashughulikia manina....View attachment 1254545
Baada ya miaka kma miwili ivi nje ya game. Umeniinspire sna, leo narud rasmi mchezonoKesho ntatoa, ila nakuakikishia kesho itakua 30M
Jana niliweka mkeka wa mechi 5 nikakosa zote.
Kama ni mtihani hii ni F Flat.
Mara nyingi jina la mtu lina hakisi bahati au misukosuko kwenye maisha. Ungejiita 'Kichwa' ungekuwa unakula sana mikeka. Ila pole ndio Betting zilivyo.Umenikumbusha mbali sana kuna siku nilijilipua ikatokea hii[emoji23]
Mara nyingi jina la mtu lina hakisi bahati au misukosuko kwenye maisha. Ungejiita 'Kichwa' ungekuwa unakula sana mikeka. Ila pole ndio Betting zilivyo.
Usikonde, ni utani tu. Hata ivyo majina tunayotumia humu hayahusiani na majina yetu ya ukweli.Imani mkuu ndio maana jina langu official lipo ukiangalia dhima ya mtandao kama huu usingesema hivi!