tibe_j
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 794
- 1,078
Kaondoka na laki 3 hiv hiv betting ngumu sanaDraw mkuu
Kaondoka na laki 3 hiv hiv betting ngumu sanaDraw mkuu
Hahahahahahahahah Kumbe unapatikana huku.Asante mkuu,hiyo mechi ya Verl vs Dortmund II ilikuwa imeanza lakini haikuisha wakaandika postponed....itakuwa hadi lini?
Ni hatari mkuuKaondoka na laki 3 hiv hiv betting ngumu sana
daaah!! pole sana yaani siku ukiona barca ametangulia kupigwa au kutoka sare basi ujue kama Madrid anacheza baada ya hapo ujue kuna hati hati ya draw au kufungwa kuna jamaa nilimwambia kuwa hii game ya Madrid wamempa odds za ajabu lakini kama atashinda basi kwa tabu sana!! au ataishia kudrawKaondoka na laki 3 hiv hiv betting ngumu sana
Asante mkuu,hiyo mechi ya Verl vs Dortmund II ilikuwa imeanza lakini haikuisha wakaandika postponed....itakuwa hadi lini?
mfumo wanaotumia juventus ushindi wa goli nyingi ni kazi sana maana team inacheza sana nyuma kuliko mbele maana hakuna winger wa kulia wala kushoto yaani diabala na ronaldo wote wanacheza kama second striker huku bernadechi anacheza kama attacking midfielder na wanyuma wanacheza kama center midfielder and center diffending midfielder so unaweza kuona approach ya game inavyokuwa na ukiangalia Torino sio wa mchezo mchezoJuventus bana
Nadhani hata servers pamoja na system admin wametetemeka
Nadhani hata servers pamoja na system admin wametetemeka
Hawawezi kumpigia wanajua atatamani kucheza madau makubwa na hivyo watarudisha pesa zao.wacha wapigwe tu isee wamezidi kutupiga sana!! nahisi hiyo ilikuwa bonge La loss kwa meridian na nahisi jamaa atakuwa ameshapigiwa simu kuwa asibeti tena ndani ya mwezi mzima....
Fa fa fa fa faJana niliweka mkeka wa mechi 5 nikakosa zote.
Kama ni mtihani hii ni F Flat.
Hata mimi nimechat nao hasubuh hii wakanieleza hvyohakuna hiyo huduma parimatch
Ni kweli mkuu,wamenipigia leo kuniambia kama ulivyoandika hapahiyo imekuwa interrupted so kama hawatacheza ndani ya masaa 24 hiyo bet itakuwa canceled then utalipwa kulingana na odds za mechi zilizobaki kama utakuwa umeshinda
kulwa wataupdate ndani ya masaa 24.Asante mkuu,hiyo mechi ya Verl vs Dortmund II ilikuwa imeanza lakini haikuisha wakaandika postponed....itakuwa hadi lini?
kulwa wataupdate ndani ya masaa 24.
Omba malaika aliekuingiza KWENYE betting akukimbieWakuu natamani kuacha kubet ila nashindwa. Msahada wenu.
Mkuu parimatch ukitaka kuweka mkeka na wakisema odds zimechange huwa unafanyaje? maana mi sionagi option inayoelekeza cha kufanya, nilizoea sportpesa systm yao nzuri saaaaaana ila sema tu udwanz wa kodi na mechi chache ndiyo vimenikimbiza ila hawana longolongo kabsaaaa sijawah hata kupigia simu customer care but nimejiunga parimatch nimewala kutoa mpunga ikagoma, ikabidi niwapigie kurekebisha tatizo imechukua siku 3, anyway parimatch wakiiboresha systm yao watapendeza sanaaaa.Kwanini watu wanaangaika na kulia kila siku Mara pesa haitoki Mara sjui network mbona betting site ziko nyingi nzuri TU na hazina shda? 1. Parimatch hii iko faster na customer care iko faster pia hawana longo longo na haina Kodi kabsaa 2. Betpower na yo iko faster kabsaa ukila Chapu pesa yako imeingia ,ukiwithraw Chapu imekuja kwenye line yako shida n Kodi tu. Sasa kla sku watu wanalia badala tutafute mbinu za kumpiga kanj tunarudi Tena kule kule tulikotoka. Kama mnaona zinazingua simbet kwa zile za karatasi?