FRUIT TREE
JF-Expert Member
- Jun 7, 2018
- 701
- 840
Mkuu hongera sana,naomba unionyeshe wallet nione ilivyoneemeka mkuu.
Mkuu hongera sana,naomba unionyeshe wallet nione ilivyoneemeka mkuu.
Mkuu niache hata naya maji
Mi nimebeti game 9 zote zimetiki,ujerumani mechi 5,england game 4Leo aliyewin bet huyo ni kidume, sio tu kidume bali kidume cha shoka, unless ulibet game moja.
Hongera yako tena mkuu....null 1.5 na ukaweka OVER maana yake ni nin?
Usione mtu anasherekea ushindi ujue kashapigwa san na huu mchezo ukijaribu kuacha ngumu utabaki kusema huu wa mwisho usipotoa basi lakini hautoi utasema leo mwisho na utaendelea moja ya starehe fulan km pombe nitaacha lkn siku ya pili tungi lako[emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu natamani kuacha kubet ila nashindwa. Msahada wenu.
joanah hongera
Hapo sifahamu kua itachezwa tena siku ganiAsante mkuu,hiyo mechi ya Verl vs Dortmund II ilikuwa imeanza lakini haikuisha wakaandika postponed....itakuwa hadi lini?
Madrid akishinda mniamshe hali leo tete sana