Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Liva Bado Yupo ICU Ana mawazo ya mechi za kilabu bingwa duniani huko arabuni
 
Niombeeni kwakwel arsenal ,Liverfool mwanitesa united na barca dogs Leo wananipeleke ICU
 
aisee du
Screenshot_2019-11-02-19-48-58.jpeg
 
1x bet cio rafiki kwa betting especially kwenye withdrawal ya pesa..kama mtu anatumia at your own risk..haiwezekan nadeposit kwa visa 20tsh..wakati as kitoaa naambiwa minimum ni 127000.kutoa..huu so utapeli..so wadau mnaotumia nawatahadharisha
Mzee labda huku chunguza kwanza ktk zile deposits methods kila njia Ina kiwango cha chin kweny kutoa na zina tofautiana kwa Visa ni USD 50 ambapo kwa pesa za madafu ndo izo chenji chenji za 127k iv njia rahisi ni ufungue Skrill account maana yenyew ni nafuu ukiacha izo njia Kama m pesa/tigopesa
 
Pamoja na kipondo nilichopata,ngoja tu nicheke.Hakuna cha handcap,wala under 5.5,norma win,au ht over 0.5 au over 2.5.Yote paaaaaaaaaaa!
 
SADIO MANE

Katika gem 4 zilizopita kafanya kazi yake vizuri kwa kuipa Liver jumla ya point 9 asingekuwako yeye either wangechukua point sio zaidi ya moja kama Leo dakika ya 87 katia assist dakika ya 94 anaipa timu yake ushindiii !!! Kwa kuwa ni ngozi nyeusi tu ndo maana klopp hawez kukubali kwa sasa Mane ndo mchezaji wake Bora kwa sasa


SADIO MANE

KAMA MCHEZAJI BORA ZAIDI YA MARA TANO ( MESSI ) ALIMUWEKA MANE KAMA MCHEZAJI BORA NAMBA MOJA MIMI AU WEWE NI NANI SASA TUKATAEEE
 
Aiseee nilikua nasubiri Crusader atoe 3+ lakin kani angusha upande wa pili barca nilimpa win nae kaenda na jamvi
 
Back
Top Bottom