Nilitumia M_pesa MasterCard bt kudeposit kule 1xbet ikawa inasumbua pia wkati naweka pesa Nilikuta option ya GAMBLINg na NOn gambling mbaya zaid kile kitufe kikawa kimeganda kwenye non gambling so nikaweka hvyohvyo so kuwa makini na hlo eneoMkuu ww kuweka skrill ulitumia njia gan?
Kwa gambling tumia visa card, mastercad hutaweza!Nilitumia M_pesa MasterCard bt kudeposit kule 1xbet ikawa inasumbua pia wkati naweka pesa Nilikuta option ya GAMBLINg na NOn gambling mbaya zaid kile kitufe kikawa kimeganda kwenye non gambling so nikaweka hvyohvyo so kuwa makini na hlo eneo
Hujui kubet, mikeka yote hii utakosa.
Najilipua tu mkuu, hta hivyo mm sio mzoefu sna wa hizi mambo ndio naanza kujifunza
Liver anakufa leo ama anadrawAttention plz!!! Kuna makubwa mawili leo yatatufurahisha humu mojawapo la league pendwa
Naomba namba yako pm nikutumie 20000 uiweke kule hlf kwenye mechi ya man city uweke over 0.5 ule hela! Kisha Ujaribu kuitoa, ukifanikiwa kuitoa hiyo hela, ubaki nayo wewe iwe yako!Wakuu Mbona Mostbet kama mwisho wa mambo yote hiv odds kibao tena kwa mpesa watu hamtumii au mmeionaje mbona haina kodi oods kibai kuliko hata bet 365 na ina inplay zakutoshaView attachment 1251808
Naomba namba yako pm nikutumie 20000 uiweke kule hlf kwenye mechi ya man city uweke over 0.5 ule hela! Kisha Ujaribu kuitoa, ukifanikiwa kuitoa hiyo hela, ubaki nayo wewe iwe yako!
Nielekeze mkuu ni kweli sijui kubet japo kuna siku nilichanganya draw na option zingine na nikashinda,tatizo ni kuwa hizo options sizifahamu vzrHujui kubet, mikeka yote hii utakosa.
Usichanganye draw kwenye option zingine labda hizo za draw uziweke kwenye mkeka mmoja..
Odds 4
Daah jamaa katudanganya.mimi hadi nimejiungaa kumbee bilaabilaa haitumiki daah.jf watu wanaongea vitu wasivyokua na uhakikaMASTERCARD YA VODA haifanyi kazi 1xbet, hiyo ni kwa ajili ya kulipia bidhaa mtandaoni tu.