Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kumbe MCHEZA wana hadi ball possesion, saves, fouls, hit cross bar, own goal
 
nikishaweka ile OTP number transaction inakua cancelled msaada hapo OTP unaitumia vip ukishatumiwa au unaweka vip pesa kweye airtel money master card
Ikileta hivi unachagua kitufe cha mwisho o.Send OTP to my phone number watakumia code utazijaza uzigo unaenda tena bila makato yoyote
 
Hapo vp wadau?
Screenshot_20191102-113907.jpeg
Screenshot_20191102-113856.jpeg
Screenshot_20191102-113831.jpeg
Screenshot_20191102-113817.jpeg
 
Je kuweka hela skrill ili uitume 1xbet unatumia njia gan? Pia unapowithdraw hela kutoka 1xbet kuja skrill ni simple, Je ikishafika skrill ww utaitoa kwa kutumia njia gani sasa kutoka skrill???
Troyes unauliza swali tunalojibu kila siku!
Skrill kuweka hela kwaajili ya betting tumia visa card na iwe enabled.
Kutoa hela 1xbet kukufikia mkononi, tumia skrill hiyo hiyo na baada ya hapo utahamisha kutoka skrill kuja kwenye card yako.
Ukitaka uitumie skrill kuweka hela kwaajl ya betting na una prepaid mastercard yako, chagua skrill kule 1xbet hlf uweke option ya bank cards( ambayo iko hapo hapo kwenye skrill) ila hapa kwa njia hiyo kuna makato kias
 
Nimerudi Teja Boi twende kazi wazee mingine inakuja
WEST HAM UNITED vs NEWCASTLE UNITED
Both Teams to Score :Yes1.73
FULHAM FC vs HULL CITY
Both Teams to Score :Yes1.62
BLACKBURN ROVERS vs SHEFFIELD WEDNESDAY
Both Teams to Score :Yes1.79
AS ROMA vs SSC NAPOLI
Both Teams to Score :Yes1.53
ANGERS SCO vs RACING STRASBOURG
1X2:12.05
RKC WAALWIJK vs HERACLES ALMELO
Both Teams to Score :Yes1.40
 
Uko ni mzunguko mkubwa fungua master card ya voda au airtel fasta tu
Je kuweka hela skrill ili uitume 1xbet unatumia njia gan? Pia unapowithdraw hela kutoka 1xbet kuja skrill ni simple, Je ikishafika skrill ww utaitoa kwa kutumia njia gani sasa kutoka skrill???
 
Pesa inakua kwenye aitel money yako kawaida tu
nikishaweka ile OTP number transaction inakua cancelled msaada hapo OTP unaitumia vip ukishatumiwa au unaweka vip pesa kweye airtel money master card
Pesa inakua kwenye airtel money yako kawaida kwa ukianza kuweka kwenda kwenye 1xbet au 22bet watakata kiwango ulicho cjagua kuweka kama 2000 au 3 nk
 
MASTERCARD YA VODA haifanyi kazi 1xbet, hiyo ni kwa ajili ya kulipia bidhaa mtandaoni tu.
Kuna watu sijui wakoje! Anaulizwa swali hatoi jibu lililoeleweka bali anaelekeza tuuu..

Rahisi ni hiv, yeye atoe hela au alete screenshots zinazoonyesha kua aliweka hela 1xbet kwa mastercad ya vodacom au hiyo airtel, otherwise ni uzushi na huo ushauri wake upuuzwe
 
Troyes – Valenciennes ▶ 1 FT 💯🔫
Ried – Horn ▶ 1 FT 💯🔫
Dijon – Paris SG ▶ Over 2,5 💯🔫
Galatasaray – Rizespor ▶ Over 2,5 💯🔫
 
Back
Top Bottom