Tushategeneza tayari mkuu na tushajaribu kuweka pesa lakini zinagoma na tunataka maelezo wewe umewekaje labda kuna sehemu tunakosea..
Tengeneza kwanza master card
Tengeneza kwanza master card
Watu wanastake jackpot huko mamamazena.....
Endelea kulialia ukiliwa ela za ngamaView attachment 1251564
Hii option mbpna siioni au ni zle accumulaterView attachment 1251539
View attachment 1251540
Wale wa 1xbet hii option ya throw in naona inalipa kiasi nimeifanyia utafiti kwa mechi kadhaa na imetoa kwa wastani wa 90%.
Timu kubwa ikiwa inacheza na timu ndogo, ipe timu kubwa kushinda throw in.
Utachagua mwenyewe kuweka half time au full time, lakini half time ndio vizuri zaidi kwa sababu timu kubwa itakuwa inafanya pressing sana ili kupata matokeo mapema hivyo throw in zitakuwa nyingi pia
Mitaji ipo lete iyo mikeka tuioneLeo ni siku y pesa tupu $ odds zimekaa vizuri mno hakika leo ni neema .....hakutakuwa na psg kwa siku ya leo cha msingi andaeni mitaji odds 5,810,mpaka 50 zipo kabisa
Yap! Leo timu kubwa zote zinacheza kwa kuwa wiki ijayo watakuwa na mechi za UEFA. Kama ni kula au kuliwa, ni leo. Kesho hakuna kazi. Leteni hiyo mikeka tunakiri.Leo ni siku y pesa tupu $ odds zimekaa vizuri mno hakika leo ni neema .....hakutakuwa na psg kwa siku ya leo cha msingi andaeni mitaji odds 5,810,mpaka 50 zipo kabisa
Hapa ni ikiwa penati itakayotolewa itafungwa (YES) au la (NO) na uombe hiyo penati ipatikane, isipopatikana UMELIWA na ikipatika lakini isifungwe, UMELIWA pia!!!!. Hii ni RAMLI zaidi ya KAMARI. Nakushauri utafute options zingine ucheze. Leo timu na options zipo nyingi, ushindwe mwenyewe.wadau naomba ufafanuzi hapa kidogo
inanichanga kidogoView attachment 1251625
Hapo cha kwanza PENATI itolewe, ndiyo unachagua kama itakua goli au itakoswa.wadau naomba ufafanuzi hapa kidogo
inanichanga kidogoView attachment 1251625
Mzee wa Premier Bet nadhani penalty isipotokea still umekula, sina uhakika lakini.Hapa ni ikiwa penati itakayotolewa itafungwa (YES) au la (NO) na uombe hiyo penati ipatikane, isipopatikana UMELIWA na ikipatika lakini isifungwe, UMELIWA pia!!!!. Hii ni RAMLI zaidi ya KAMARI. Nakushauri utafute options zingine ucheze. Leo timu na options zipo nyingi, ushindwe mwenyewe.
No ipo kwenye ligi kubwa tu, Epl, bundasliga, laliga, seria A, ligi 1, uefaa ueropaHii option mbpna siioni au ni zle accumulater
Tusubiri wenyewe waje mkuuMzee wa Premier Bet nadhani penalty isipotokea still umekula, sina uhakika lakini.
Penat isipotokea, umeliwa.Mzee wa Premier Bet nadhani penalty isipotokea still umekula, sina uhakika lakini.
Tushategeneza tayari mkuu na tushajaribu kuweka pesa lakini zinagoma na tunataka maelezo wewe umewekaje labda kuna sehemu tunakosea..
Tafuta option nyingine tu!wadau naomba ufafanuzi hapa kidogo
inanichanga kidogoView attachment 1251625
😅😅😅Nenda shop zao?????? gal bet asee msiende kubet kule hamna sehem ya kutoa hela daaah hela zanguuuu jamani