lizotz
Member
- Sep 15, 2019
- 40
- 35
sehem niliyopo adi kufika uko duuh binge LA naulii😅😅😅Nenda shop zao
sehem niliyopo adi kufika uko duuh binge LA naulii😅😅😅Nenda shop zao
Wewe umeweka vip pesa mkuu, acha masiala aisee?????? gal bet asee msiende kubet kule hamna sehem ya kutoa hela daaah hela zanguuuu jamani
Kuweka hela ni rahisi ila kutoa ndiyo inakua ngumu kama haupo karibu na shop zaoWewe umeweka vip pesa mkuu, acha masiala aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaonaje uendeleee kuibetia kwa nidhamu ijae jae kwanza ili siku ukifunga safari kuzitoa, basi unasindikizwa na ulinz wa polisi kabsasehem niliyopo adi kufika uko duuh binge LA naulii
Mkuu kwa mtandao wa airtel inakubali ndani ya dakika moja. Wewe umekwama wapi?
nimewela kwa voda sasa nmekula kutoa hela option ya mobile money hamna wanantumia code niende kwenye shop zaoWewe umeweka vip pesa mkuu, acha masiala aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ngoja nifanye ivoUnaonaje uendeleee kuibetia kwa nidhamu ijae jae kwanza ili siku ukifunga safari kuzitoa, basi unasindikizwa na ulinz wa polisi kabsa
Tuma code uchukuliwe hela wewe, bado tuna waaminifu wachache?????? gal bet asee msiende kubet kule hamna sehem ya kutoa hela daaah hela zanguuuu jamani
Shida sio kutuma tu, inakubali kupokea hela?Mkuu kwa mtandao wa airtel inakubali ndani ya dakika moja. Wewe umekwama wapi?
Mkuu kwa mtandao wa airtel inakubali ndani ya dakika moja. Wewe umekwama wapi?
Je kuweka hela skrill ili uitume 1xbet unatumia njia gan? Pia unapowithdraw hela kutoka 1xbet kuja skrill ni simple, Je ikishafika skrill ww utaitoa kwa kutumia njia gani sasa kutoka skrill???fungua account skrill,then fanya deposit hata ya hela ndogo kutoka skrill kwenda 1x.Baada ya hapo utaweza kuwithdraw hiyo hela kupitia skrill.Mm ndo nilitumia njia hii kuipata hela yangu baada ya kusumbuka sana
Wadau Nina buku 7000 skrill nataka
Nimetumie mtu ili yeye anitumie bukuu 5 ti go pesa
Leicester city anacheza kesho km cjakoseaWakuu habari leo natak nitok na hivi ushauri plz!!View attachment 1251702View attachment 1251703
Na amtoe yupo kwenye jackportLeicester city anacheza kesho km cjakosea
Na amtoe yupo kwenye jackport