Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_2019-11-02-13-17-49.jpeg
 
1x bet cio rafiki kwa betting especially kwenye withdrawal ya pesa..kama mtu anatumia at your own risk..haiwezekan nadeposit kwa visa 20tsh..wakati as kitoaa naambiwa minimum ni 127000.kutoa..huu so utapeli..so wadau mnaotumia nawatahadharisha
na bado ukitoa inagoma
 
na bado ukitoa inagoma
Kumbee hata ukiifikiaa minimal amount hyo inagomaa?tuambiane ukweli wanajukwaa 1x bet cio ya kutegemea ni kuihama tu..af haiwezekan wakati wa kudeposit hawakwambiii kwamba withdrawl minimum2n kiasi2gan..japo inaezekana imeelezwa kwenye policies..lakin tuwe macho sana na hii app
 
Soccer->England->Premier League
ARSENAL FC vs WOLVERHAMPTON WANDERERS () -
Both Teams to Score : Yes1.73Placed
Pre-match2019-11-02 17:00:00Soccer->Italy->Serie A
AS ROMA vs SSC NAPOLI () -
Both Teams to Score : Yes1.53Placed
Pre-match2019-11-02 17:30:00Soccer->Germany->Bundesliga
BORUSSIA DORTMUND vs VFL WOLFSBURG () -
Over / Under : Over 2.51.61Placed
Pre-match2019-11-02 17:30:00Soccer->Germany->Bundesliga
BAYER 04 LEVERKUSEN vs BORUSSIA MONCHENGLADBACH () -
Both Teams to Score : Yes1.53Placed
Pre-match2019-11-02 17:30:00Soccer->Germany->Bundesliga
EINTRACHT FRANKFURT vs FC BAYERN MUNICH () -
Both Teams to Score : Yes1.50Placed
Pre-match2019-11-02 18:00:00Soccer->England->Championship
FULHAM FC vs HULL CITY () -
Both Teams to Score : Yes1.61Placed
Pre-match2019-11-02 18:00:00Soccer->Scotland->Premiership
HAMILTON ACADEMICAL FC vs Ross County FC () -
Both Teams to Score : Yes1.71Placed
Jumla ya odd26.92
 
Kumbee hata ukiifikiaa minimal amount hyo inagomaa?tuambiane ukweli wanajukwaa 1x bet cio ya kutegemea ni kuihama tu..af haiwezekan wakati wa kudeposit hawakwambiii kwamba withdrawl minimum2n kiasi2gan..japo inaezekana imeelezwa kwenye policies..lakin tuwe macho sana na hii app
tumia 22bet iko poa haina shida hizo..mm nilisumbuka sana mpaka kuitoa hela 1xbet..na nilivyofanikiwa tu nikahamishia majeshi 22bet..
1xbet kama unatoa kutumia skrill haina shida ingawa kuna makato..na hela kutoka skrill ina delay kidogo.wakati 22bet ni instant ukitoa within 3min unapokea cash
 
Kaka mbna hata hyo skrill kwang inagoma..wamaanishaa ukideposit kiasi flani na kutumia skrill..na ukabet..unaezss kutoa kilee kiasi cha swali chote...
 
unatoa bila shida,tena hata bila kuibet hiyo amount uliyodeposit..jaza details zote skrill na hakikisha unasema deposit kwa ajili ya gambling purpose ukiwa unadeposit.na ukishadeposit unarequest withdraw kupitia skrill
 
22bet na 1xbet wale ni mapacha/kampuni moja
tumia 22bet iko poa haina shida hizo..mm nilisumbuka sana mpaka kuitoa hela 1xbet..na nilivyofanikiwa tu nikahamishia majeshi 22bet..
1xbet kama unatoa kutumia skrill haina shida ingawa kuna makato..na hela kutoka skrill ina delay kidogo.wakati 22bet ni instant ukitoa within 3min unapokea cash
 
Wakuu hv mnajua kuna bonus ya 2000 unapojiunga parimatch? Mm sio mchoyo leo tubet wote. Kama nitadelay kujibu hapa bas niDM
 
unatoa bila shida,tena hata bila kuibet hiyo amount uliyodeposit..jaza details zote skrill na hakikisha unasema deposit kwa ajili ya gambling purpose ukiwa unadeposit.na ukishadeposit unarequest withdraw kupitia skrill
Nashkru kaka. Ngja nikomae. Af ntaleta mrejesho
 
Mkuu ukiwa unaangalia kwa macho unaweza fikilia izo timu zoteee zitatoa, kimbembe ni pale match zinapoanza

Mkuu jaribu kufinya kwa ustad mkubwa tafuta odd 5 tuu,
Sawa ila nishajilipua hivyo Leicester nimemtoa nimemuwek dortmund gg ngoj tuangalie matokeo mungu anawez kuw upande wang
 
Back
Top Bottom