Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi walivyoondoa malipo kwa njia ya m- pesa nikafuta app yao kwenye simu yangu mapema kabisa.
Kumbee hata ukiifikiaa minimal amount hyo inagomaa?tuambiane ukweli wanajukwaa 1x bet cio ya kutegemea ni kuihama tu..af haiwezekan wakati wa kudeposit hawakwambiii kwamba withdrawl minimum2n kiasi2gan..japo inaezekana imeelezwa kwenye policies..lakin tuwe macho sana na hii app
 
nafunga kazi mapema tu na CBA hapa nimeshapata pesa ya kula kuku baadaye na bebez!!! tukutane kesho Ila msitegemee nitaleta mkeka maana watu humu wanagundu hatar [emoji16][emoji16][emoji16] just joking sema league ya wachina imeanza hivyo, NBA msimu huh hatahaileweki cjui ndo league bado mapema sana!! nawatakia pole mlioliwa Leo...
Screenshot_2019-11-02-16-50-23.jpeg
 
wikend huwa inazingua sana, mi nilishawapigia sana simu kuwalalamikia ila naona wa nashindwa kurekebisha hivyo nilisha achana nao
Meridian wamegoma aisee, haitaki ku login kabisa,
Sijui nitazipata Wapi tena hizi options
 
Kwanini watu wanaangaika na kulia kila siku Mara pesa haitoki Mara sjui network mbona betting site ziko nyingi nzuri TU na hazina shda? 1. Parimatch hii iko faster na customer care iko faster pia hawana longo longo na haina Kodi kabsaa 2. Betpower na yo iko faster kabsaa ukila Chapu pesa yako imeingia ,ukiwithraw Chapu imekuja kwenye line yako shida n Kodi tu. Sasa kla sku watu wanalia badala tutafute mbinu za kumpiga kanj tunarudi Tena kule kule tulikotoka. Kama mnaona zinazingua simbet kwa zile za karatasi?
 
Na siku zote ukishaona customer care n mbovu hata hyo site haifai kabsaa n yakuikombia Sasa Kuna haja gan kubet halafu pesa yako ikusumbue KUITOA? Mm Sasa hvi napambana na kanj jinsi ya kumla tu syo Mambo eti nimekula nashindwa kutoa pesa yaan kanj akuumize kichwa na bado uumize kichwa jinsi ya kutoa pesa yako au kudeposit? Hzo site zimewapa ktu gan jaman maana mtu anang'ang'ania mahali utadhan kalogewa huko. Ebu tujarbu kuangalia Mambo ya kumla kanj tiachane na ma site yasiyo na maana ya kikuumiza kichwa kla iitwapo leo.
 
Back
Top Bottom