Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

mkuu parimatch hawana longo longo kwenye kutoa pesa sema tu watu huwa hamfuati masharti ndo maana!! sheria yao ni kwamba unapojiunga na ikitokea umebet na mkeka umetik ukitaka kutoa lazima uwatumie kitambulisho chako kinachotambulika hapa nchini, baada ya kufanya hivyo unalipwa bila matatizo sema tu huwa wanatabia ya kujichanganya mm waliniwekea deni la sh. 38000 kwenye account yangu ya kwanza na siku elewa niliipataje maana kwa maelezo yao waliniambia kuna mikeka nilikula huku ilitakiwa iwe lost au nilizidishiwa pesa ya kulipwa!! lakini zaidi ya hapo wapo vizuri sanaaaaaaaaaa
Mkuu parimatch ukitaka kuweka mkeka na wakisema odds zimechange huwa unafanyaje? maana mi sionagi option inayoelekeza cha kufanya, nilizoea sportpesa systm yao nzuri saaaaaana ila sema tu udwanz wa kodi na mechi chache ndiyo vimenikimbiza ila hawana longolongo kabsaaaa sijawah hata kupigia simu customer care but nimejiunga parimatch nimewala kutoa mpunga ikagoma, ikabidi niwapigie kurekebisha tatizo imechukua siku 3, anyway parimatch wakiiboresha systm yao watapendeza sanaaaa.
 
ukiona MTU analilia hizi sites za 1xbet ujue uwezo wake wa kubet ni wavitonga lakini vipigo vipo kama kawaida maana huko kuweka pesa tu makato kama yote kwann ujisumbue sasa wakati hiyo pesa ya makato unaweza ukabetia na ukapiga pesa nzuri tu ya supu....

Leo nilikuwa nataka nifungue account ya meridian wakaniambia hii huduma imefungiwa hapa nchini nikasema duuhh mbona hii Kali.....but kwa sasa nafanya rotation nimeheheheehhamia parimatch kwa muda maana playmaster option ya sub baada ya kuona watu wengi wameigundua basi wakaona isiwe tabu wapunguze odds!! option ya red cards ni kichomi. najua mbeleni watapandisha tu odds wakiona watu hawafuatilii tena hiyo option ya sub na halo ndo tutaanza kupiga pesa kimya kimya!!!
 
ukiambiwa odds zimechange unarudi tena kwenye hiyo game unabet upya!! kulingana na odds walizozibadilisha au ukitaka kuplace bet moja kwa moja unaweka tu Ila ujue kuna mawili either odds zitapanda au zitashuka
Mkuu parimatch ukitaka kuweka mkeka na wakisema odds zimechange huwa unafanyaje? maana mi sionagi option inayoelekeza cha kufanya, nilizoea sportpesa systm yao nzuri saaaaaana ila sema tu udwanz wa kodi na mechi chache ndiyo vimenikimbiza ila hawana longolongo kabsaaaa sijawah hata kupigia simu customer care but nimejiunga parimatch nimewala kutoa mpunga ikagoma, ikabidi niwapigie kurekebisha tatizo imechukua siku 3, anyway parimatch wakiiboresha systm yao watapendeza sanaaaa.
 
kipigo cha buyer cha Jana ilikuwa ni kulipiza kisasi kwani game ya mwisho buyer naye alishinda 5:1
Screenshot_2019-11-03-10-18-06.jpeg
 
Nna madhaka makubwa na huu mkeka ulioshinda million 22 kwa stake ya sh 25000 kww odds 1145 kwa jumla ya mechi 15 kwenye mkeka.
Huu mkeka umejaa uongo wa kutosha.
1) pale juu kunaonyesha idadi ya mechi n 15/15 lakin mkeka wenyewe una idadi ya mechi 16 zihesabu vizuri.

2) jumla ya odds zako ni 1145 lakin uhalisia wa hizo odds ukizidisha n 817.

3) your stake times odds imeleta kwako million 22 kiuhalisia odds 1145 times 25000 inaleta mil28 minus kodi 5m plus 2mil ya bonus equal to 25mil. Ila kwako imeleta 22 mil.

Utaniconvice ikiwa utalekebisha hizobmechi hapo najua unao huo uwezo was kucheza na hizo tickets, Na valid justifications za kutosha.
 
Tayari tumeshaanza kuhangaika!
Utajiua mwenyewe!
Tanzania uchawi mwingi sana ndani ya watu, shida tu ni kua watu hawana vitendea kazi!
 
Na uwezo mdogo wa kufikiri pia n tatizo kwa watanzania wengi. Hata simple analysis inatushinda. Namba hazidanganyi.
 
Tatizo linaanzia hapa palipowekewa alama. Hiyo usiihesabu kama mechi kwenye odds na stake sizungumzii nimejaribu kupitia tu kiundani kwann ukihesabu kwa harakaharaka utapata timu 16! Lakini tarehe ya hapo pia ni tarehe 1
IMG_20191103_105501_438.jpg

Halafu hiyo sio kama ni mechi ni kitu gani basi! Chenye kupewa odds na option
 
Na uwezo mdogo wa kufikiri pia n tatizo kwa watanzania wengi. Hata simple analysis inatushinda. Namba hazidanganyi.
Siyo kwamba sikuhesabu tokea jana, nilihesabu na nikahakiki ilivyo ila mi nilijisemea moyoni " ya ngoswe ni mwachie ngoswe mwenyewe"!

sasa wewe presha ya nini? Umeshajua hivyo, pita vile!
 
Weee ni mchawi mkubwaa pesa za mtu ww unaumia rohooo ww au ww ndio una hisa uko meridian?
Nna madhaka makubwa na huu mkeka ulioshinda million 22 kwa stake ya sh 25000 kww odds 1145 kwa jumla ya mechi 15 kwenye mkeka.

Huu mkeka umejaa uongo wa kutosha.
1) pale juu kunaonyesha idadi ya mechi n 15/15 lakin mkeka wenyewe una idadi ya mechi 16 zihesabu vizuri.

2) jumla ya odds zako ni 1145 lakin uhalisia wa hizo odds ukizidisha n 817.

3) your stake times odds imeleta kwako million 22 kiuhalisia odds 1145 times 25000 inaleta mil28 minus kodi 5m plus 2mil ya bonus equal to 25mil. Ila kwako imeleta 22 mil.

Utaniconvice ikiwa utalekebisha hizobmechi hapo najua unao huo uwezo was kucheza na hizo tickets, Na valid justifications za kutosha.
 
Weee ni mchawi mkubwaa pesa za mtu ww unaumia rohooo ww au ww ndio una hisa uko meridian?
Sifaidiki na uongo wake ila nasikitishwa na vijana wanaoutazama wakatamani mistake high wakiamini watapata kumbe wanazidi kupoteza. Na watakaoenda inbox kupewa odds kwa pesa.

Hoja hupingwa kwa hoja.
 
Na uwezo mdogo wa kufikiri pia n tatizo kwa watanzania wengi. Hata simple analysis inatushinda. Namba hazidanganyi.
Kwenye milion 28 toa milioni 5 laki saba na elfu 20, 988 kama kodi utapata hiyo amount iliyobaki
 
Mechi zipo 16 lakini Mkeka pale juu umeandika mechi 15[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilaa wabongo jamani muhindi atulee pesaa na sisi kwa sisi piaa tuibianeee aisee[emoji24][emoji33][emoji33]
Hiyo mechi moja iliyozidi ni Kanji kampa nyongeza kwa ubetiji wake mzuri uliotukuka.

Ngoja nisubiri rafiki yake aitwae Mr Q atamteteaje kwenye hili la idadi ya mechi
 
Itakuwaa kanji kamuongezea odds zinonee[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Au labda System yao imekosea kuhesabu mikeka ikaandika 15/15 badala ya 16/16. Si wajua hizi system zimetengenezwa na Binadamu kaka
 
Back
Top Bottom