Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Premer hana kodi pia anakupa na bonus
Kwa Tanzania hakjna kampuni nzuri kama Princess bet, tangu wameanza hawana kodi. Wanakupa makato ya kodi kama bonus, yaani vile vile, mbili odds zao ni kubwa hata wakati mwingine kuliko 1xbet, tatu angalau wana mechi nyingi, shida yao ni kwamba hawana option ya ku turbo au kuuza.
 
Princess sio nzuri kama premer mana princess mwisho wa odds ni 1000 sasa ss wazee wa kokoro hatufai
Kwa Tanzania hakjna kampuni nzuri kama Princess bet, tangu wameanza hawana kodi. Wanakupa makato ya kodi kama bonus, yaani vile vile, mbili odds zao ni kubwa hata wakati mwingine kuliko 1xbet, tatu angalau wana mechi nyingi, shida yao ni kwamba hawana option ya ku turbo au kuuza.
 
Premer hana kodi pia anakupa na bonus
Nimelinganishaga odd zao kama mara 3 hivi, the same teams, same stake nikakuta difference ya 11k baada ya kushinda. Wanaminya sana odds. Sitaki kabisa kuwasikia, nitabakia na Princessbet tu
 
Mm nimezoea kubet kokoro timu zako di ya 15 na odds zinakuja 2000 na sio mara moja kushinda odds zikiwa nyingii na stake inapungua
Kiuhalisia wanaobet seriously mwisho wao wa idds huwa ni 10 mpaka 50, hizo zaidi ya 1000 unaweka jeri au
 
Yan saiv badala ya watu kutupia vitu huku wanapambana na makampun mara odds uku ni ndogo uku ni kubwa hyo sio ishu odds huwa znachange mda unavyosogea tatizo saiv watoto wengi wakina proffesor wamekuwa silent kwa sabb ya vitu vnavyoendlea uku
 
Sure. Mimi toka nianze kubet sijawahi kuchange kampuni, ntachange siku nikifungiwa. Kama hipo hipo tu,
 
Back
Top Bottom