BONGE LA BWANA
Senior Member
- Apr 14, 2015
- 199
- 168
MBET nao wanazngua, game zimeisha tangu saa saba ucku, bado hawatumi mpunga nikanywe supu
Daaah...nilitoa mpunga wng, nikaacha buku 3, akaunti inaniambia error kila ckuMeridian watu tume deposits mpka leo haisomi *****
Mķuu nimekupm...msaada wko ndguunatoa bila shida,tena hata bila kuibet hiyo amount uliyodeposit..jaza details zote skrill na hakikisha unasema deposit kwa ajili ya gambling purpose ukiwa unadeposit.na ukishadeposit unarequest withdraw kupitia skrill
Ha haaaaakaweke sare then lipuka kwenye hiyo game.
Si mtumie sportpesa wao hawana hizo shida ndogo ndogo za kutoa au kuweka kwani hizo kampuni mnazo zilalamikia zimewapa nini mbona mmeziganda hivyoMeridian watu tume deposits mpka leo haisomi *****
MBET nao wanazngua, game zimeisha tangu saa saba ucku, bado hawatumi mpunga nikanywe supu
Hakuna kampuni iliyo perfect kwenye kila kitu, kila kampuni ina changamoto zake ndio maana unakuta mtu mmoja ana account zaidi ya kampuni 3 za kubetia.Nawashauri tumie kampuni ambazo hazisumbui kuweka wala kutoa wala kulipa hela mfano sportpesa
KUNASHI KILASEHEMU HATA PRINCESSMBET nao wanazngua, game zimeisha tangu saa saba ucku, bado hawatumi mpunga nikanywe supu
akitumiahiooyakoo wanaliwa bora wachelewe KUTOA kuliko kuliwaSi mtumie sportpesa wao hawana hizo shida ndogo ndogo za kutoa au kuweka kwani hizo kampuni mnazo zilalamikia zimewapa nini mbona mmeziganda hivyo
Yaani ni sumbuke kumla mhindi na kutoa pesa yangu nisumbuke
Shida ya betpawa haina CashOut. Ungelamba mshiko unanyanyua majeshi.Haya mambo ya kubet bila kuzingatia tarehe yanaweza kunigharimu aiseee
Mi nilijua nimeweka game zote za jana,
Dua zenu jamani, waki draw tu odd zangu 40 zinapotea hivi hiviView attachment 1253432
Hahahaa usikate tamaa cheza kujifurahisha ipo siku utatusua tuMkuu hata jana nilijiapiza ni mwisho lakini leo tena teyari nimeshabet mechi za kesho [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu sio kwamba sportipesa hawaioni ila nayo ina kasoro zake kwa mfano kwenye soka mechi zao sio nyingi kama kwa mfano parimatch, kingine kodi, kingine odd zao sometime ni ndogo compare na wengine ila ni kweli kutoa hela wao ni fasta! Kwa hiyo mtu anaona bora aende kwenye kampuni ambayo atamaximize pato lake kwa kuwa kutoa ni lazima atatoa tuSi mtumie sportpesa wao hawana hizo shida ndogo ndogo za kutoa au kuweka kwani hizo kampuni mnazo zilalamikia zimewapa nini mbona mmeziganda hivyo
Yaani ni sumbuke kumla mhindi na kutoa pesa yangu nisumbuke
Baba hapo hawakufuti machozi?
Sawa ila kwangu mimi kuliko niangaike kutoa hela yangu au kuweka hela bora nicheze tu sportpesaMkuu sio kwamba sportipesa hawaioni ila nayo ina kasoro zake kwa mfano kwenye soka mechi zao sio nyingi kama kwa mfano parimatch, kingine kodi, kingine odd zao sometime ni ndogo compare na wengine ila ni kweli kutoa hela wao ni fasta! Kwa hiyo mtu anaona bora aende kwenye kampuni ambayo atamaximize pato lake kwa kuwa kutoa ni lazima atatoa tu
Hongera mkuuWamenipa 1.6 m
Hongera mkuu
Mkuu umensahauAhsante sana