Estate Dsm
Member
- Oct 28, 2019
- 29
- 6
Meridianbet Mzingua
** Kila weekend ndiyo Mtandao Unazingua**
** Kila weekend ndiyo Mtandao Unazingua**
Kaza moyoHuu uzi nilikuwa nauona na kuupitia mbali ila siku nimeingia kwenye uwekezaji huu sikosi kuupitia kuchota ujuzi japo tangu nimeingia nakula za uso tu ila sikati tamaa
Wakuu mwenye mtaji, kuna Odd ya 1.45
Yanga vs Pyramid. Mimi ni mwananchi damuuu ila hii ni pesa . Badae mtasema nime edit. Nishaweka nyumba huko.
uko right atapewa hundi mi kuna jamaa yangu kazini kwetu ashapiga more than 20 M sportpesa tena zaidi ya mara 3 na mara zote alipewa hundiNafikiri atapewa Hundi na sio cash money
Mkuu jamaa huwa huwa anatafuta odds ambazo kwa % kubwa zitamlipa then anabet hela ya maana jamaa huwa habet elf elf yeye ni kuanzia malaki kadhaa ndiyo kanuni yake ingawa kama kawaida huwa somtim anakosa lakin naye anambamiza sana kanjiAisee huyo fundi sanaa[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
Kama uliweka kalee supui
🤑🤑🤑
Asante asee, nilimfata Pyramids kwa Princessbet akiwa na odd 1.54 + 1.54 ya Spurs handicap+1 na Copenhagen 1.47 nikaweka 15k naona imekuja 52k. Sema jana 30k+leo 10 Barcelona/Madrid na Atalanta/basel na Paok wamezingua sanaHONGERA!Umeshinda Tzs115303 kwenye Pyramids FC vs Young Africans,OVER-HOME(namba ya bet 7526). Kodi Tzs10859.Baada kodi unapata Tzs104444. SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWA YANGA