Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,568
- 17,992
Kama hujaanza achana kabisa na huu uraibu..utakuja kunishukuru!Nataka niingie kwenye hii biashara nifundisheni namna ya kubeti
Kama hujaanza achana kabisa na huu uraibu..utakuja kunishukuru!Nataka niingie kwenye hii biashara nifundisheni namna ya kubeti
Wangese wale mamaae zao wameninyima nauli keshoOver 0.5[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Analysis yako ina make sense. Ila toka mwanzo huo mkeka huko hivyo hivyo. Alafu mie siuzi odds mkuu, na sijawahi kuuza, na sitegemei kuzaa. Kama kuna mtu nimemuuzia odds aseme hapa, ila PM zakuomba hela ninazo kama 30.
Hiyo ngoma nimekula kama ilivyo. Jumatatu ntaenda ofisini kwao kuvuta mpunga, nitaululiza.View attachment 1252737
Nataka niingie kwenye hii biashara nifundisheni namna ya kubeti
Kwanini nisiingie mkuu naona watu wanapiga faidaMkuu,usiingie!!
Muache mkuu nae aingie moyo wake ni wachuma aseeMkuu,usiingie!!
Uwe una share MkuuMeridian wametoa network wakuu, kuna turbo ya maana huku. Yamaaana yani,
Maombi yenu Game ya suprs zipatikane corner 11
Kwanini mkuuKama hujaanza achana kabisa na huu uraibu..utakuja kunishukuru!
Watu wanaponda sana humu, kuna jamaa kanifata inbox nimempa point za maana.Uwe una share Mkuu
NimekuPM mkuuWatu wanaponda sana humu, kuna jamaa kanifata inbox nimempa point za maana.
Mie nimeweka 2M stake. Game mbili tu
Take easy Mkuu..watoto wamekua wengi humu...wengine tunajua uwekezaji wako...Watu wanaponda sana humu, kuna jamaa kanifata inbox nimempa point za maana.
Mie nimeweka 2M stake. Game mbili tu
Meridian wametoa network wakuu, kuna turbo ya maana huku. Yamaaana yani,
Maombi yenu Game ya suprs zipatikane corner 11
Kweli mkuu 90% ya mechi za Leo zimetoaView attachment 1253091poza maumivu yako apa
Bora young boys mkuu yupo chumban kwa watu sio huyu boya BaselYoung Boys anawasalimia