Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duuh hukos bonus apo m 13 milan $ granada
Haya sasa wenye kusema nimeediti mke ka mkuje mpinge na hii
Screenshot_20191104-013508.jpeg
Screenshot_20191104-013443.jpeg
 
Usione mtu anasherekea ushindi ujue kashapigwa san na huu mchezo ukijaribu kuacha ngumu utabaki kusema huu wa mwisho usipotoa basi lakini hautoi utasema leo mwisho na utaendelea moja ya starehe fulan km pombe nitaacha lkn siku ya pili tungi lako[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hata jana nilijiapiza ni mwisho lakini leo tena teyari nimeshabet mechi za kesho [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama walishiriki kukuumiza JANAA
Jipongeze na WEWE LEOO tumewaaga RASMI wanaizaya HAWA sijui WALIKUWA wanabet
IMG-20191104-WA0027.jpg
IMG-20191104-WA0026.jpg
IMG-20191104-WA0028.jpg
 
Back
Top Bottom