Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mdogo md
Screenshot_20191103-075053.jpeg
 
Mzeee pesa ya kubet siyo ya kuitegemea sasa utasemaje hutaki shida kutoa pesa yako??? Yani unabet leo 50000 unategenea upate 300000 ili kesho ukalipe deni??

Kwa mm ni bora nibet na premer bet au princess bet tena mara kumi premer bet mana wao hawakati kodi na tena bado wanakupa na bonus yako kuna mda hadi ela ya kutoa mpesa walikuwa wanakupa.

Unakuta kampuni kodi 20% oddss chache timu wanaeka chache bado kushinda mwisho milioni tatu

Ushauri wangu tu wa kila siku kampuni nyingi zitakuja ila premer atabaki kuwa juuu website yako ipo friendly kupita zingine odds hawapo vibaya sana baada ya kuchange website hapo kama miezi sita hii kumekuwa na mabadailiko sanaa ukiweka pesa inadisplay dakika sifuri ukitoa napo unapata dakika chache bira kukatwa kodi ila wanakupa na bonus yako yan unaipata kwenye ela sio uibetie,

Labda tatizo ni options tu na mm sio mpenzi wa options zingine mm ni magoli tu over 1.5 under 3.5 au 4.5 na options zingine mabazo common
Sawa ila kwangu mimi kuliko niangaike kutoa hela yangu au kuweka hela bora nicheze tu sportpesa
 
Mhindi noma nimkosa kosa ila sio mbaya nitamtafuta baadaeView attachment 1253909
Dah kweli walihenga walisema bet what you can afford to loose ramli zangu zilionyesha hivi
Georgia Erovnuli Liga 211:00Kolkheti Poti - Samtredia
%15​
%21​
%63​
0:3​
na almanusura niseme samtreda anashinda ila parimatch site yao ikawa slow na ikanigomea maana few sec mechi ilianza kumbe ndo kahela kangu ka mawazo kanapona!!! basi kamepona hapa sitoshangaa baadade Spartak Moscow - Arsenal Tula wanakula kihela changu cha ngama betting bwana ka ulevi wa unga vile
 
Mzeee pesa ya kubet siyo ya kuitegemea sasa utasemaje hutaki shida kutoa pesa yako??? Yani unabet leo 50000 unategenea upate 300000 ili kesho ukalipe deni??

Kwa mm ni bora nibet na premer bet au princess bet tena mara kumi premer bet mana wao hawakati kodi na tena bado wanakupa na bonus yako kuna mda hadi ela ya kutoa mpesa walikuwa wanakupa.

Unakuta kampuni kodi 20% oddss chache timu wanaeka chache bado kushinda mwisho milioni tatu

Ushauri wangu tu wa kila siku kampuni nyingi zitakuja ila premer atabaki kuwa juuu website yako ipo friendly kupita zingine odds hawapo vibaya sana baada ya kuchange website hapo kama miezi sita hii kumekuwa na mabadailiko sanaa ukiweka pesa inadisplay dakika sifuri ukitoa napo unapata dakika chache bira kukatwa kodi ila wanakupa na bonus yako yan unaipata kwenye ela sio uibetie,

Labda tatizo ni options tu na mm sio mpenzi wa options zingine mm ni magoli tu over 1.5 under 3.5 au 4.5 na options zingine mabazo common
Hapo kwenye kutoa hela, siku hizi ukitoa weekend zinatoka?
 
Ningejua ndio kupo hivi ela yangu ningeenda kula supu shida ule mkeka wa million ishirini niliouona nikajua ni rahisi kumbe daaa sirudii tena

Betting ni mchezo mgumu sana asee, wahindi wanatunyanyasa wengi kweli yani..
 
Mzeee pesa ya kubet siyo ya kuitegemea sasa utasemaje hutaki shida kutoa pesa yako??? Yani unabet leo 50000 unategenea upate 300000 ili kesho ukalipe deni??

Kwa mm ni bora nibet na premer bet au princess bet tena mara kumi premer bet mana wao hawakati kodi na tena bado wanakupa na bonus yako kuna mda hadi ela ya kutoa mpesa walikuwa wanakupa.

Unakuta kampuni kodi 20% oddss chache timu wanaeka chache bado kushinda mwisho milioni tatu

Ushauri wangu tu wa kila siku kampuni nyingi zitakuja ila premer atabaki kuwa juuu website yako ipo friendly kupita zingine odds hawapo vibaya sana baada ya kuchange website hapo kama miezi sita hii kumekuwa na mabadailiko sanaa ukiweka pesa inadisplay dakika sifuri ukitoa napo unapata dakika chache bira kukatwa kodi ila wanakupa na bonus yako yan unaipata kwenye ela sio uibetie,

Labda tatizo ni options tu na mm sio mpenzi wa options zingine mm ni magoli tu over 1.5 under 3.5 au 4.5 na options zingine mabazo common
Kwa Tanzania hakjna kampuni nzuri kama Princess bet, tangu wameanza hawana kodi. Wanakupa makato ya kodi kama bonus, yaani vile vile, mbili odds zao ni kubwa hata wakati mwingine kuliko 1xbet, tatu angalau wana mechi nyingi, shida yao ni kwamba hawana option ya ku turbo au kuuza.
 
Back
Top Bottom