Innocentinno
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 354
- 312
Shusha nondo tujue mkuuHabari
Kwa wale watumiaji wa Airtel MasterCard ,nimeweza kudeposit na kuwithdraw pesa bila shida yoyote kwa kampuni ya 22bet .
Cha kufanya ni kuwa na line ya Airtel ,halafu isajili we wenyewe iwe MasterCard kwa kubonyeza *150*60# halafu chagua 6 tena chagua 1 na kamilisha usajili wa hyo laini kuwa MasterCard ,baada ya hapo utapokea meseji yenye link ambayo ukiifungua itakuletea MasterCard yako yenye namba ya card na CVV pamoja na majina yako,baada ya hapo utakuwa umefanukiwa kuiwezesha na utaweza kufanya online transaction bila shida yoyote.Shusha nondo tujue mkuu
Oh..thanks .kama 22 bet imekubali..natumai na 1x bet inaeza kua imefunguka ..maana zaman ilikkua inagomaCha kufanya ni kuwa na line ya Airtel ,halafu isajili we wenyewe iwe MasterCard kwa kubonyeza *150*60# halafu chagua 6 tena chagua 1 na kamilisha usajili wa hyo laini kuwa MasterCard ,baada ya hapo utapokea meseji yenye link ambayo ukiifungua itakuletea MasterCard yako yenye namba ya card na CVV pamoja na majina yako,baada ya hapo utakuwa umefanukiwa kuiwezesha na utaweza kufanya online transaction bila shida yoyote.
Tatizo 1x bet kwenye kutoa kupitia MasterCard bado inagomaOh..thanks .kama 22 bet imekubali..natumai na 1x bet inaeza kua imefunguka ..maana zaman ilikkua inagoma
watu hawana huruma mkuu wanawaza zile 22milMkuu nimepigwa 1M Bado Unataka na buku tano?
Makato YaoHabari
Kwa wale watumiaji wa Airtel MasterCard ,nimeweza kudeposit na kuwithdraw pesa bila shida yoyote kwa kampuni ya 22bet .
Ukiweka N Kutoa Wanakata Tshs Ngap?Tatizo 1x bet kwenye kutoa kupitia MasterCard bado inagoma
Vip kuhusu makato yao kuwek pesaCha kufanya ni kuwa na line ya Airtel ,halafu isajili we wenyewe iwe MasterCard kwa kubonyeza *150*60# halafu chagua 6 tena chagua 1 na kamilisha usajili wa hyo laini kuwa MasterCard ,baada ya hapo utapokea meseji yenye link ambayo ukiifungua itakuletea MasterCard yako yenye namba ya card na CVV pamoja na majina yako,baada ya hapo utakuwa umefanukiwa kuiwezesha na utaweza kufanya online transaction bila shida yoyote.
Mfano niliweka airtel money elf 15 nikalipa 22bet elf 13 wakanikata 400Vip kuhusu makato yao kuwek pesa
Pamoja Boss.Usikonde, ni utani tu. Hata ivyo majina tunayotumia humu hayahusiani na majina yetu ya ukweli.
Mfano niliweka airtel money elf 15 nikalipa 22bet elf 13 wakanikata 400
Kama hyo hapo chini
Txn Id : MP191105.1125.B19866,You have paid 12,844.11Tshs to 22bet .Your available Airtel Money balance : 1,755.89Tshs.
Imekubali kuwithdrawHabari
Kwa wale watumiaji wa Airtel MasterCard ,nimeweza kudeposit na kuwithdraw pesa bila shida yoyote kwa kampuni ya 22bet .
Orlando Pirates FC v Maritzburg United FC
Highest scoring half - 2nd
2.23
Liverpool v KRC Genk
3 Way - 1
1.42
ODDS 3.16
Liverpool ashinde odd yake mbona kubwa sana!?