Achana na watu kama soka255. Huyu jamaa nilisha m_block siku nyingi sanaHivi Kweli eeeh? Basi ata nikila ntakaa kimya. Byeeee tukutane Jukwaa la siasa, Ndio kwangu kule
Wadau vp hamna groups za betting za whatsapp tuwekeeni link hapa
Mfano niliweka airtel money elf 15 nikalipa 22bet elf 13 wakanikata 400
Kama hyo hapo chini
Txn Id : MP191105.1125.B19866,You have paid 12,844.11Tshs to 22bet .Your available Airtel Money balance : 1,755.89Tshs.
Vp match imemalizika?Liverpool ya watoto ishaharibu kazi kwa kupigwa 1 mtungi na genk, tusubiri ya wakubwa tu.
TUWAHI HAPAView attachment 1254862
Wametinduana 3 - 2 tayari. [emoji23]Kumbe wako hivyo,mie nimeona goli nyingi
Wametinduana 3 - 2 tayari. [emoji23]
Mkuu Innocentinno unahamishaje hela kutoka airtel money kwenda mastercard.nimekwama inakataa.Cha kufanya ni kuwa na line ya Airtel ,halafu isajili we wenyewe iwe MasterCard kwa kubonyeza *150*60# halafu chagua 6 tena chagua 1 na kamilisha usajili wa hyo laini kuwa MasterCard ,baada ya hapo utapokea meseji yenye link ambayo ukiifungua itakuletea MasterCard yako yenye namba ya card na CVV pamoja na majina yako,baada ya hapo utakuwa umefanukiwa kuiwezesha na utaweza kufanya online transaction bila shida yoyote.
[emoji23][emoji23] watu wanaweka mikeka waliokula hatushirikishan before mechikwani humu hakukutoshi???
Hapana airtel master card as long as line ikiwa na helaa tayari unaweza kulipiaa popote...tofauti na vodacom master card.lazima kwanza uhamishe pesa kutokakwenye mpesa kwenda mastercard..ko airtel n moja kwa moja..haina haja ya kuhamishaMkuu Innocentinno unahamishaje hela kutoka airtel money kwenda mastercard.nimekwama inakataa.
[emoji23][emoji23] watu wanaweka mikeka waliokula hatushirikishan before mechi
Orlando Pirates FC v Maritzburg United FC
Highest scoring half - 2nd
2.23
Liverpool v KRC Genk
3 Way - 1
1.42
ODDS 3.16