Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Vijana wa putin ngapi ngapi huko?
Asantee mkuu japo kwangu najaribu kudeposit inanigomeaHapana airtel master card as long as line ikiwa na helaa tayari unaweza kulipiaa popote...tofauti na vodacom master card.lazima kwanza uhamishe pesa kutokakwenye mpesa kwenda mastercard..ko airtel n moja kwa moja..haina haja ya kuhamisha
Bora mechi za leo nimechelewa nlitaka ni state hela ndefu roho ikasita leo kutakuw na maumivu balaa kun timu km mbili zitachan mikeka,ngoja nihangaike kwenye tennis tu kidog uku hela ipo na odds za maanaBarcelona na viodd vyake uchwara anashindwa kupata bao kipindi cha kwanza!
Kwanini ulimblock aisee??
Mi na over 2.5 juuu yan anaeza pgwa uyuEty nimempa Barca cap si Bora nikalale tyuuu
shida kuna watu wanaupepo mbaya!! wakitembea na mkeka wako ujue kanji anafurahia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] watu wanaweka mikeka waliokula hatushirikishan before mechi
Ety nimempa Barca cap si Bora nikalale tyuuu
Unasema? Hebu eleza kiurefuLiverpool kapumzisha wachezaji sita kwa ajili ya man city sasa mliompa Genk anaweza akabadilisha matokeo
inaskitisha sana kwa kweli bora kufanya hustle zako kimya kimya.Humu kuna wachawi. Kuna watu hawapendi wenzao wapate. Wanataka tuwe twapata loss tu maana kampuni wanazofanyia kazi zinafaidika
hahaha siasa na ukamalia haviendaniHivi Kweli eeeh? Basi ata nikila ntakaa kimya. Byeeee tukutane Jukwaa la siasa, Ndio kwangu kule
jamaa anajisifia ujingaKwanini ulimblock aisee??