Bado bila bila mkuu
Mwenye matokeo ya Ipswich anijuze tafadhali
Mwenye matokeo ya Ipswich anijuze tafadhali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anadraw na kuchana mikeka kibao ya wadau
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]shida kuna watu wanaupepo mbaya!! wakitembea na mkeka wako ujue kanji anafurahia[emoji16][emoji16][emoji16]
Anadraw na kuchana mikeka kibao ya wadau
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nliwek no goal yan leo full kuliwa
Bora mechi za leo nimechelewa nlitaka ni state hela ndefu roho ikasita leo kutakuw na maumivu balaa kun timu km mbili zitachan mikeka,ngoja nihangaike kwenye tennis tu kidog uku hela ipo na odds za maana
Kwasasa hivi over set ndio nachez nayo,na ov/under 20 mara nyingi zinatoaMkuu tennis wacheza direct win au wacheza option ipi
Chelsea kuna mtu alimpa under?
Katoboa mkuu kwa kishindoValencia anayumba dah?
Wanakuja mkuu ngoja niwakaribishemliokula mikeka sasa mda wenu wa kuipost