Dive
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 903
- 1,528
Anadraw na kuchana mikeka kibao ya wadauBarca ana baka ukuuu
Anadraw na kuchana mikeka kibao ya wadauBarca ana baka ukuuu
NAPITA TU KAMA HYKUONAA❌❌❌❌❌❌❌❌❌🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸❌❌❌❌❌❌🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸. *Beware of Barcelona Today🤪*❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸
Acha tuAnadraw na kuchana mikeka kibao ya wadau
Genk hana jeuri hiyo,hata ingekuwa Liverpool B Genk hachomoki Anfield.Liverpool kapumzisha wachezaji sita kwa ajili ya man city sasa mliompa Genk anaweza akabadilisha matokeo
Tangu PSG apingwe na Dijon nimepumzika kwanza na hii Biashara.Anadraw na kuchana mikeka kibao ya wadau
NAPITA TU KAMA HYKUONAA
❌❌❌❌❌❌❌❌❌🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸❌❌❌❌❌❌🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸. *Beware of Barcelona Today🤪*❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌❌🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇸
Napoli 1X
Barca win
Valencia 1X
Barca U19 win
Liverpool U19 win
⬆ Odd 235
⬆ Inter - Lautaro Martinez - scores
⬆ Napoli - Drien Martens - scores
⬆ Barca - Messi - 2 goals
⬆ Zenit - Leipzig - BTS & 3,5
⬆ Chelsea -Ajax - HT - over 1,5
⬆ Lyon - Benfica - BTS
Punguza upepo huo!Napoli 1X
Barca win
Valencia 1X
Barca U19 win
Liverpool U19 win
Galatasary🏀
Partizan🏀
Nafuu kubet kwa siku hizi hakutabiriki tujifunze ICE HOCKEY, TENNIS, BASKETBALL na HANDBALLTangu PSG apingwe na Dijon nimepumzika kwanza na hii Biashara.
Nimeshangaa kuona watu wanaumia mtu akipiga pesa ndefu boss!Humu kuna wachawi. Kuna watu hawapendi wenzao wapate. Wanataka tuwe twapata loss tu maana kampuni wanazofanyia kazi zinafaidika
100k ung barc win $ liverTangu PSG apingwe na Dijon nimepumzika kwanza na hii Biashara.
Kweli Mkuu ulisemaNIMEONYA MAPEMAA KUWENI MAKINI NA BARCAAA
Mpwa macho ya tai.NAPITA TU KAMA HYKUONAA
Mkuu kwenye TENNIS napo nimepigwa juzi vibaya nilimbetia bwege mmoja hivi limecheza vizuri set ya 1 set ya 2 si lika retire dah nikaambulia kilio tu.Nafuu kubet kwa siku hizi hakutabiriki tujifunze ICE HOCKEY, TENNIS, BASKETBALL na HANDBALL
Mchawi huyoabas tarimba anapga chapuo kwmba makampun yasiyo sajiliw yafungiwe n kushtakiwa kW kesi y kuhujum uchumi hp anawalenga 1Xbet nahc