Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hatimae nmetoa gundu khaa
IMG_20191106_011519_170.JPG
 
Wenye uzoefu na hii Gal Sport Betting haisumbui kuwithdraw?. Nimechoka na tax za Play Master
 
Msaada wadau natafuta line ya safaricom kama unayo tunaweza fanya biashara
 
Yani watu wanachana yan hadi wanaona kampuni hii haifai ngoja niamie sehemu nyngne labda kunaafadhali lakn kichapo kipo pale pale
sana sana hawa watoto waliongia umu
 
Back
Top Bottom