Mkuu nini maana y fast bet ?
Mkuu nini maana y fast bet ?
Bila VPN tutaweza kweli kujisajili ?
Una bet bila kulipia online ndo unapewa hizo namba unaenda kwenye shop zao wanaingiza hizo namba unafyatuliwa mkeka wako wa makaratasi...Mkuu vp iyo laini nitaipata niko moshi
Kwa ishara kama hizi inaonekana leo ni siku nzuri sana
Kama umeshindwa kuelewa maana ya hayo maneno, endelea kukomaa kutoa zitatoka tuWakuu anayetumia pay card ya ABC kwa 1xbet kuna maneno yameandikwa ukijaribu ku withdraw kuwa withdraw via visa is temporarly unavailble je ! aliyefanikiwa ku withdraw haya maadishi yana kikwazo?View attachment 1255767