Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu jackport hiyo ya betpawa ,tujaribu kufanya analysis hapo,ni shilingi 100 tu so wekeni tuone bahati zetu zikoje,
Screenshot_20191107-195326.jpeg
 
Wakuu kuna aliyefanikiwa kuwithidraw kwa kutuma mast card ya Airtel mony kutoka 1xbet?
 
Can you give me the formula Mr ?I wish to use it.
Hahaha kushinda jackpot ya mechi 13 bila kufanya analysis yaani ufanye combination ya possible probability WIN-DRAW-LOSE, 3^13 unatakiwa ucheze mikeka1,594,343.

No shortcut lazima ufanye analysis.
 
Back
Top Bottom