koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,811
- 10,445
Pole mkuu
Wale wa inplay iyo game kama unapesa ukieka ivyo hutojutiaView attachment 1257216
Wale wa inplay iyo game kama unapesa ukieka ivyo hutojutiaView attachment 1257216
Omba omba wanekuwa wengi humu.. Kafanyeni kazi mkipata pesa ndo mje kubeti.sio kusubir win za wengine muanze kuomba pesa.. Mnatia aibu na usumbufu..
Mshikaji wangu Nina Kama book tano ivi Nataka niweke mkeka mm mgeni nipe mawazo
Ndio maana wataalam wanasema uwanja wa mapambano siku zote unawabeba bookiesFormula ni kufanya combinations ya mikeka 13
1 2 3
4 5 6
7 8 9
10 11 12
13 14 15
16 17 18
19 20 21
22 23 24
25 26 27
28 29 30
31 32 33
34 35 36
37 38 39
Hapo Kuwin jackpot unatakiwa ufanye combination 1.59M, unaweza kubeti jumla ya mikeka milioni 1 na laki 5?
Kama ni betipawa Utatumia milioni 159 kula jackpot ya milioni 10. Ni kichekesho
Kuna siku nilifanya combination za mikeka 80 kwenye jackpot ya milioni 200 nikapatia mechi 13 kati ya 17 kwa kubahatisha tuu kwa sababu combinations nyingi niliziacha.
Hawa jamaa wa makampuni ya kubet walishafanya hizo combinations wakaona ni ngumu sana wateja kuzicheza na ni gharama kubwa kuliko jackpot yenyewe.
Sijaelewa hapa mkuu unafanyaje manuva hapoFormula ni kufanya combinations ya mikeka 13
1 2 3
4 5 6
7 8 9
10 11 12
13 14 15
16 17 18
19 20 21
22 23 24
25 26 27
28 29 30
31 32 33
34 35 36
37 38 39
Hapo Kuwin jackpot unatakiwa ufanye combination 1.59M, unaweza kubeti jumla ya mikeka milioni 1 na laki 5?
Kama ni betipawa Utatumia milioni 159 kula jackpot ya milioni 10. Ni kichekesho
Kuna siku nilifanya combination za mikeka 80 kwenye jackpot ya milioni 200 nikapatia mechi 13 kati ya 17 kwa kubahatisha tuu kwa sababu combinations nyingi niliziacha.
Hawa jamaa wa makampuni ya kubet walishafanya hizo combinations wakaona ni ngumu sana wateja kuzicheza na ni gharama kubwa kuliko jackpot yenyewe.
Unataka ODDS ngapi?Subiri baadae wadau watashusha mikeka
Habari wadau? Nimerejea tena baada ya kuwa mchunguliaji kwenye huu uzi.
NBA hizi Odds 2+
View attachment 1257201
Ahahah limekuwa jukwaa la omba omba
Ili uwe na uhakika wa kushinda 100% itakubidi utumie hela nyingi zaidi ya utakazoshinda kwenye jackpotSijaelewa hapa mkuu unafanyaje manuva hapo
Bro iko hivi huyo cash money anajaribu calculate chance ya kuwin jackport katika timu 13. Ambayo ameeleza ili kupata mkeka mmoja wa kushinda lazima ufume zaid ya mikeka milion moja.kwa mahesabu yake yuko sawa kabisa.Sijaelewa hapa mkuu unafanyaje manuva hapo
KudadadekiiiiiBro iko hivi huyo cash money anajaribu calculate chance ya kuwin jackport katika timu 13. Ambayo ameeleza ili kupata mkeka mmoja wa kushinda lazima ufume zaid ya mikeka milion moja.kwa mahesabu yake yuko sawa kabisa.
Lakin kwenye betting/gambling huwezi fanya hivyo ukatoboa huu mchezo ni bahati tu.
Kwa mfano ukibet timu moja pekee unajua kabisa kuna matokeo matatu win loss na draw sasa huwezi niambia ukishajua hivyo utafuma mikeka mitatu tofauti mmoja win mwingine draw na mwingine loss ili upatie mkeka mmoja. Ndio jamaa anachokifanya hapo.