Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Yrt
 

Attachments

  • IMG_20191108_131243_070.jpg
    IMG_20191108_131243_070.jpg
    39.7 KB · Views: 13
*MAXB SINGLE*

KOLN GG &2.5 OV
LEGABES GG&2.5 OV

ST PAUL GG&OV 2.5

*SINGLE N COMBINE*
 
08/11/2019

FRANCE: NATIONAL

20:00 Le Puy - Toulon

Tip: X HT Odd : 3.20

08/11/2019

FRANCE: NATIONAL

20:00 Le Puy - Toulon

Tip: X / X HT / FT Odd : 6.50
 
Kweli omba omba mnazingua
Void alipigwa pesa ndefu sana akaamua kuacha kubet naww kama unaona ulipigwa bora utulie sio kutusumbua umu
Ila daah nammis sana void kweli kila lenye mwanzo halikosi mwisho
 
SHAHR KHODRO FC vs PARS JONOUBI JAM

PICK : CS1-0

(DONT JUST PICK THAT, MAKE MORE SELECTIONS OVER 15 SELECTIONS JUST BY KNOWING THE FINAL RESULT)
 
Kweli omba omba mnazingua
Void alipigwa pesa ndefu sana akaamua kuacha kubet naww kama unaona ulipigwa bora utulie sio kutusumbua umu
Ila daah nammis sana void kweli kila lenye mwanzo halikosi mwisho


Dooh ! kumbe mwamba aliamua kuacha? alipigwa kiasi gani?
 
Huyo game ya Melbourne na central coast niliicheza. 1n O 2.5.

Nikaweka 5000. Imetoka 10k nimepata mtaji tayari
 
We una muamini uyu @sungux2 mhusika yupo hajawahi sema mahala popote kua ameacha kubet au kupigwa iko kiasi ila ni yeye tu ndo huleta aya maneno umu


Then sorry for him ... bad wishers 😎
 
We una muamini uyu @sungux2 mhusika yupo hajawahi sema mahala popote kua ameacha kubet au kupigwa iko kiasi ila ni yeye tu ndo huleta aya maneno umu

Sasa mkuu nimsingizie void nipate nn
Void mm nafahamiana nae na kila mkeka wake tuna share wasap au unazani void nachat nae uku kama ww
Kama ulikuwa hujui ndio ivyo mkuu jamaa niwa stake ndefu kuna game alijiaminisha sana na angemuotea kweli angeuaga umaskini sema sasa kumbe ii ni bet
 
Kweli omba omba mnazingua
Void alipigwa pesa ndefu sana akaamua kuacha kubet naww kama unaona ulipigwa bora utulie sio kutusumbua umu
Ila daah nammis sana void kweli kila lenye mwanzo halikosi mwisho
lete ushahidi wa mkeka aliopigwa pesa ndefu
 
Back
Top Bottom