Hahaa kama uchaguzi WA....yaani kama ni vipigo tu,hizi week 2 nimekula vipigo vya kufa mtu!!inafikia hatua inabidi nicheke tu..Huu mchezo ni mgumu sana wandugu
Kweli omba omba mnazingua
Void alipigwa pesa ndefu sana akaamua kuacha kubet naww kama unaona ulipigwa bora utulie sio kutusumbua umu
Ila daah nammis sana void kweli kila lenye mwanzo halikosi mwisho
Pole mkuu. Nidhamu ni muhimu. Odds 2-3. Stake what u can afford to loseyaani kama ni vipigo tu,hizi week 2 nimekula vipigo vya kufa mtu!!inafikia hatua inabidi nicheke tu..Huu mchezo ni mgumu sana wandugu
We una muamini uyu @sungux2 mhusika yupo hajawahi sema mahala popote kua ameacha kubet au kupigwa iko kiasi ila ni yeye tu ndo huleta aya maneno umuDooh ! kumbe mwamba aliamua kuacha? alipigwa kiasi gani?
We una muamini uyu @sungux2 mhusika yupo hajawahi sema mahala popote kua ameacha kubet au kupigwa iko kiasi ila ni yeye tu ndo huleta aya maneno umu
We una muamini uyu @sungux2 mhusika yupo hajawahi sema mahala popote kua ameacha kubet au kupigwa iko kiasi ila ni yeye tu ndo huleta aya maneno umu
lete ushahidi wa mkeka aliopigwa pesa ndefuKweli omba omba mnazingua
Void alipigwa pesa ndefu sana akaamua kuacha kubet naww kama unaona ulipigwa bora utulie sio kutusumbua umu
Ila daah nammis sana void kweli kila lenye mwanzo halikosi mwisho