Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
yaan sociedad jinga kweli
Itakuaje sasa APA najamaa sana 50k yangView attachment 1258239
Jomba uwe unaelewa mbona ushaambiwa udownload app yao ? Hiyo operamini huwa inazingua tafuta app install kaz imeisha
Mnaambiwa hayo majina mnayotumia yanaakisi hali halisi ona sasa illo jina zwazwa llinavyokuathiri unaambiwa lkn hauellewi hata kujiongeza kubadilisha browser au kutumia application haujui tayari umeisha conclude 22bet matapeli aisee kwelli kwenu ma...zwa..*zwa mpo wengiItakuaje sasa APA najamaa sana 50k yangView attachment 1258239
Shukrani kiongoziMnaambiwa hayo majina mnayotumia yanaakisi hali halisi ona sasa illo jina zwazwa llinavyokuathiri unaambiwa lkn hauellewi hata kujiongeza kubadilisha browser au kutumia application haujui tayari umeisha conclude 22bet matapeli aisee kwelli kwenu ma...zwa..*zwa mpo wengi
Haya yote ni simple ni sawa na wanaotumia safaricom wanaweka llocation ya kenya kwa kutumia vpn jiongezee mkuuNimefanya ivyo shida inakuja app wananiambia nine Log in nikiwa local katka location tofauti wata send security code nizijaze lakini hazifiki izo code nikijaribu kwa web inagoma
Tumia browser mbona inaonyesha poa tu.mkuu najaribu kuchungulia apo ila naona,.screenshot haijakaa vizuri sioni kitu
Stay away frm totty today
Una bando la kuingia JF ila la kugoogle huna, nimegoogle kwa niaba yako
A clean sheet is a footballing term that describes a game in which the team referred to as having maintained a clean sheet does not concede a goal during the match. ... If a team did not allow any goal to be scored against them, then the team's “details of goals conceded” column would be left empty (clean sheet).
Ngoja nikopi mkeka huuPLAY SEPARATELY
MAXB
HAPO TOTTY WAWEZA MPA DC AMA HOME WIN EITHER HALF (HWEH)View attachment 1258445View attachment 1258446View attachment 1258446
Place kwanza mkuu
Ndio maana watu siku hizi humu wanapakimbiaHahaha ... watu wanataka hela ila wavivu kinoma. Yani kisa kuna jukwaa la "wazee wa kubet" ... basi hata swali dogo la kugoogle au kwenda kwenye FAQs/Help ya kampuni husika upate ufafanuzi wanaona shida.
Duuh !!!