Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wandugu mimi mgeni kidogo kwenye haya mambo ya betting.Ila leo nataka niweke mzigo kidogo.Nimeshajiunga na sportpesa sasa naomba ABC za kubeti maana mimi ninachokijua ni win,draw au loose.sasa naona wenzangu kuna mpaka mambo ya double chance.
 
Jamani nataka nibet leo kwa kutumia kitochi, naombeni jinsi ya kubeti kwa kitochi mechi za uhakika, nataka nianze na 500 tsh.
Mechi za uhakika. Asante.
 
Hahaha ... watu wanataka hela ila wavivu kinoma. Yani kisa kuna jukwaa la "wazee wa kubet" ... basi hata swali dogo la kugoogle au kwenda kwenye FAQs/Help ya kampuni husika upate ufafanuzi wanaona shida.
Duuh !!!
Lugha ndugu yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85],wengine tumeishia la pili B ,tukaingia m mtaani...[emoji12][emoji12]
 
⬆ Australia. H - 9,30 am
⬆ W. UTD - WS Wanderers 🍀2-1🍀 60""
⬆ BTS & over 2,5 🍀🍀🍀
⬆ Odd - 2🍀 WON 🍀
 
IMG_20191109_141446_823.jpgIMG_20191109_141442_991.jpgIMG_20191109_141440_504.jpg
 
⬆ Duble Odd - 3
⬆ Brescia-Torino - over 2,5
⬆ Leicester - Arsenal - BTS
 
⬆ Ticket Odd -6,5
⬆ Jablonec - Sparta Praha - 1X
⬆ Valencia - Granada -1
⬆ Chelsea - Cristal Palace - over 2,5
⬆ Leipzig - over 1,5
 
⬆ Match of the day
⬆ Wales - H. 15,30
⬆ TNS - Carmarthen
⬆ 1 & over 2,5
⬆ Odd - 2
 
Tatu za mwisho ni Tennis ... wacha nijaribu hapa leo ! On a more serious note, nawachukua wafuatao kutoka hapo naweka mzigo ...

- Alex De Minaur
- Damir Dzumhur
- Napoli
- RB Leipzig - X2

1573298580155.png
 
Wandugu mimi mgeni kidogo kwenye haya mambo ya betting.Ila leo nataka niweke mzigo kidogo.Nimeshajiunga na sportpesa sasa naomba ABC za kubeti maana mimi ninachokijua ni win,draw au loose.sasa naona wenzangu kuna mpaka mambo ya double chance.
Aiseee kwa ushaurii tu ndugu yangu nakuomba achana na mambo ya kubeti niamini utakuja kujuta mimi mwenyewe nipoingia kwenye jukwaa hili walinishauri hivyo hivyo kuwa nisibeti nikawa mbishi ndani ya siku mbili nilipigwa laki tatu kamilli mpaka leo bado naikumbuka hela yangu tafadhali waachie wanaoweza haya mambo
 
Back
Top Bottom