WIGAN FT XKAMA UMELIZWA LEO RUDISHA HELAYAKO NA HII CS
ANGERS HT CS 0-0
FRANCE
2.50 ODDS
KILA LA KHERI STAKE MKE NA WATOTO
kwa mfano umeweka over 2.5 inamaanisha yapatikane kuanzia magoli matatu kwenda juu ndio unakuwa umeshinda ila ukiweka unfer 2.5 ina maana yasuzidi magoli mawiliWakuu naomba kuelekezwa kidogo juu ya ishu ya over au under huwa sielewi msaada tutani tafadhali
Shukrani mkuu ina maana 0.5 inamaanisha goli mojakwa mfano umeweka over 2.5 inamaanisha yapatikane kuanzia magoli matatu kwenda juu ndio unakuwa umeshinda ila ukiweka unfer 2.5 ina maana yasuzidi magoli mawili
NdioShukrani mkuu ina maana 0.5 inamaanisha goli moja
1.5 ni goli 2
Ndio unaweza ila kuna kula na kuliwaeti jaman, naweza kubetia mechi moja na nikashinda, nabeti kwa spoti pesa
nitajie mechi 1 ya uhakika nataka nibeti
Sikushauri kabisa uingie kwenye huu uraibu ndungu yangu, kama bado huja anzanitajie mechi 1 ya uhakika nataka nibeti