Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Inakera hii
Screenshot_20191109-195838.jpeg
 
Kama una imani haba unaweza kudhani bookies wachawi
Yaani option utakayo changua ndio inayogoma
Yaan Mayu acha tu unaweza dhani bookies wanaonyeshwa mechi kwenye luninga za kichawi kabla ya kuchezwa maana sometime kuna option unaona kabisaaaaaaaa kanji anakaa halafu utashangaa keka la mechi kumi plus inagoma mechi 1 tu unakuta labda ulihitaji goli 1 tu na still unalikosa timu zinatoka 0 0 tena basi timu konkiiii inakuwa imecheza na timu dhaifuuuuuuu na tena timu konkiiii yupo nyumbani hapo na full squad
 
salari
mm nakwambia kuna kitu tusichokijua kuhusu betting
 
wazee wenzangu kwa tunao pendelea kubet magoal
bundesliga league + bundesleague ya Austria hizi league haziwez kukulaza njaa
 
★ Juventud Unida Universitario - Ferro Carril Oeste
FT X 3.80 🤑

★ Argentino de Rosario - Yupanqui
FT X 2.88 🤑

Stake single and combine 💥💥
 
Back
Top Bottom