Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,861
- 15,836
***** zao hawa watalianoIntermilan anawasalimia
***** zao hawa watalianoIntermilan anawasalimia
Kabisa[emoji119][emoji119]Yaan Mayu acha tu unaweza dhani bookies wanaonyeshwa mechi kwenye luninga za kichawi kabla ya kuchezwa maana sometime kuna option unaona kabisaaaaaaaa kanji anakaa halafu utashangaa keka la mechi kumi plus inagoma mechi 1 tu unakuta labda ulihitaji goli 1 tu na still unalikosa timu zinatoka 0 0 tena basi timu konkiiii inakuwa imecheza na timu dhaifuuuuuuu na tena timu konkiiii yupo nyumbani hapo na full squad
Kama una imani haba unaweza kudhani bookies wachawi
Yaani option utakayo changua ndio inayogoma
Betting ni ngumu sanaaaaaInter milan sio poa....[emoji25][emoji25][emoji25]
Unaweka over au under?wazee wenzangu kwa tunao pendelea kubet magoal
bundesliga league + bundesleague ya Austria hizi league haziwez kukulaza njaa
Dah bonge la comebackInterrrrr!!!
Dah!! Sasa nasubiri goli moja tu kati ya bayern na dortmund,5000 izae 256000,maombi muhimu hapa[emoji120][emoji120][emoji120]Dah bonge la comeback
Unawapeleka wenzio chaka, Leicester hashindi hiyo game. Best Bet - Arsenal win or draw x2 tukutane hapa hapa.
Thank you god 3-0Dah!! Sasa nasubiri goli moja tu kati ya bayern na dortmund,5000 izae 256000,maombi muhimu hapa[emoji120][emoji120][emoji120]
Ahhhhhh Alubatiiiiiiiiiiiiiiiii mi naona Benfica anataka kunlaza njaa maombi jamani mpaka sasa ashapigwa kimoko na Santa Clara na nilimuwekea Benfica awin au adroo halafu yupo ugenini dah najuuuuuuta anyway bado ka dakika 45 hivi anaweza akafanya comebackThank you god 3-0
Bet won
This is a Business, ukitaka kutafuta pesa acha mihemuko. Nalala na 3M profit. Usiku mwemaUnawapeleka wenzio chaka, Leicester hashindi hiyo game. Best Bet - Arsenal win or draw x2 tukutane hapa hapa.
Dah me nimembakiza huyo tu gg naona haitatoa ningempiga vibay timu 9 hii moja tu imekataa timu nyingin 2 dk za majeruh zimeshindaThank you god 3-0
Ahhhhhh Alubatiiiiiiiiiiiiiiiii mi naona Benfica anataka kunlaza njaa maombi jamani mpaka sasa ashapigwa kimoko na Santa Clara na nilimuwekea Benfica awin au adroo halafu yupo ugenini dah najuuuuuuta anyway bado ka dakika 45 hivi anaweza akafanya comeback
Aisee odd 800+Dah me nimembakiza huyo tu gg naona haitatoa ningempiga vibay timu 9 hii moja tu imekataa timu nyingin 2 dk za majeruh zimeshindaView attachment 1258959
Biashara haikuwa rahisi, vipi kama draw ingepatikana ungeweza kuniquote? Odds ziliongea Arsenal wabovu, lakini Leicester hakuaminiwa moja kwa moja. DC kwangu ilikuwa ni best bet kwa game hii, harufu ya draw ilikuwa inanukia mwisho dk 90 zimeamua, hongera kwa ushindi.This is a Business, ukitaka kutafuta pesa acha mihemuko. Nalala na 3M profit. Usiku mwema